Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Mechi ya timu ya akina Samata dhidi ya wapinzani wao yasababisha vifo vya mashabiki 16.

$
0
0
BnatcfpIYAAx8HNMaafa makubwa yametokea kwenye soka nchini DR Congo.

Angalau watu wapatao 15 ambao ni washabiki wa soka wamepoteza maisha kwenye mchezo wa TP Mazembe dhidi ya ASV Club.

Kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo, Emmanuel Akweti, kwenye mahojiano na shirika la habari la Uingereza alisema kwamba:

“Mapolisi wanne walikuwa wakisumbuliwa na mashabiki. Walipoamua kupiga mabomu ya machozi, fujo zikaanza kuzuka na kusababisha vifo.” 
confusao_mazembe_mediacongo_690
mashabiki wakifanya vurugu uwanjani

confusao_mazembe02_twitter_690
Polisi wakiwahudumia baadhi ya majeruhi na wengine waliofariki.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Latest Images

Trending Articles