Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tuzo za kimataifa za CNN kwa waandishi wa habari Afrika 2014 zazinduliwa.

Tuzo za kimataifa zinazotolewa na CNN kwa ushirikiano na Multichoice ‘CNN MultiChoice African Journalist 2014 Awards zimezinduliwa rasmi ambapo waandishi wa habari wa Afrika watapata nafasi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hali Tete barabara ya kwenda Mikoa ya kusini.Jionee Mwenyewe Hapa.

Barabara hii imeripotiwa mara kadhaa kutoka kwa abiria na wamiliki wa magari juu ya hali ilivyo hasa inapotokea mvua kunyesha eneo hili,taarifa niliyoipata ni kuwa kuna baadhi ya watu wamekwama toka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sentensi 3 za Chidi Benz toka tukio la kumpiga mpenzi wake wa zamani.

Rapper Chidi Benz aliingia kwenye headlines baada ya kudaiwa kumpiga Mwanamke ambae ni mpenzi wake wa zamani hivyo kupelekwa sero weekend ya Pasaka kwa tuhuma za kumpiga Mwanaisha kwenye baa moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASKINI...ONA JINSI ANAVYOPIGWA HUYU MWANAJESHI NA HAWA MAASKARI WA USALAMA...

Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi!  Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana. Bado haieleweki chanzo ni nini. Je,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya Ferguson – Rio Ferdinand nae anakuja na kitabu chake.

 Miezi kadhaa iliyopita tulishuhudia kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson akizua mijadala mingi kwenye vyombo vya habari kutokana na vitu alivyoandika kwenye kitabu chake. Hivi sasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nikki wa Pili Na Ujio Mwingine Mpya.

Mshindi wa tuzo ya wimbo bora wa Hip hop Nikki wa pili leo ametoa cover ambayo inamaanisha ujio wake mwingine unaofuata baada ya Nje ya box ambayo ilitoka siku ya Valentine February 14 2013,ingawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana Na Kocha wa kwanza mwanamke kufundisha soka kwenye klabu kubwa Ulaya.

 Ni kawaida kuona makocha wa jinsia ya kiume wakiwa wanafundisha timu za mpira wa miguu za wanawake, lakini ni mara chache sana tumewahi kushuhudia kocha wa kike akiwa anaifundisha timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahabusu wavua nguo na kung'ang'ania mlingoti wa bendera ya Taifa huko Mwanza.

Matukio ya ajabu yanayofanywa na mahabusu wanaoshinikiza kesi zao kusikilizwa haraka ikiwa ni mbinu wanazoamini zitasaidia katika kile wanachoeleza kuwa ni kudai haki zao yanaendelea kuonekana ambapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sheddy Clever aeleza faida aliyoipata kwenye muziki licha ya kuikosa tuzo...

Producer wa Burn Records, Sheddy Clever ameonesha kutoridhika kabisa na kitendo cha kuikosa tuzo ya mtayarishaji bora wa mwaka kwenye KTMA huku wimbo alioutayarisha 'My Number One' ukimuwezesha Diamond...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ombi la Real Madrid lagonga mwamba UEFA.

Shirikisho la soka barani ulaya UEFA limetupilia mbali rufaa iliyokatwa na klabu ya Real Madrid kupinga kadi ya njano aliyoonyeshwa kiungo  Xabi Alonso wakati wa mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuelekea kombe la dunia: Vikosi vya Ujerumani na Brazil vyatangazwa.

Homa ya kombe la dunia imeanza kupanda na timu kadhaa zimeanza kutangaza vikosi vya wachezaji watakaoenda Brazil kushiriki michuano hiyo inayotarajiwa kuanza June mwaka huu.Jana usiku kocha wa timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 10 za msichana wa Kiafrika anaefananishwa na Rihanna.

Huyu msichana aliwahi kutokea kwenye video ya mmoja kati ya wakali wa Nigeria aitwae Orezi ambae aliimba wimbo unaitwa Rihanna ambapo video ilifanyika Afrika Kusini na unaweza kuitazama chini mwisho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Listi ya vilabu vyenye utajiri duniani.

Klabu ya Manchester United imezidi kushuka chini kwenye chati ya vilabu vyenye thamani kubwa ulimwenguni, kwa mujibu wa jarida la Forbes.Nafasi ya kwanza imeshikwa na klabu ya Real Madrid yenye thamani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kuhusu Kocha wa Yanga kusitisha mkataba wake na Yanga.

Taarifa ambayo imetolewa na Uongozi wa Yanga ni juu ya kuacha kazi kocha wa timu hiyo Hans Van Der Plujim ambaye aliungana na timu hiyo January 2014.sababu za kocha huyo kuacha kazi ni kile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtanzania mwingine akamatwa Airport Nairobi akiwa na mzigo wa dawa za kulevya.

Mwanaume mmoja Mtanzania amekamwata katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Nairobi Kenya akiwa amebeba dawa za kulevya akiwa njiani kuelekea Antananarivo ambapo mzigo huo ulitokea Tanga kisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video ya Taste the Money ya P.Square imetoka.Itazame Hapa.

P.Square ni miongoni mwa wasanii wachache kutoka Afrika ambao wamekua na bahati kubwa ya baadhi ya nyimbo zao zinapotoka kuhit kwa haraka,Taste the Money audio ilitoka February 11 na kuwa ni mojawapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufuska Bongo Movies Wamkosesha Deal Mwigizaji Nora.

MWANADADA wa ‘long time’ kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie.Akipiga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maimartha Atuhumiwa Kuwauzia Mastaa Dawa za Kukuza Makalio

MTANGAZAJI aliyepata kuwika katika vituo mbalimbali vya runinga Bongo, Maimartha Jesse, amedaiwa kuwauzia mastaa wa mjini dawa za kuongeza makalio.Habari za moto kutoka kwa sosi wa kuaminika, zinasema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lupita Akiwa Na Rais Obama Na Mke Wake Michelle Obama Ndani Ya White House.

  Amefuatilia na vyombo vingi vya habari duniani toka alivyofanya filamu ya 12 Years A Slave na kupata tuzo ya Oscar. Lupita ameandikwa na magazeti na majarida makubwa kuhusu mambo tofauti kama filamu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na Huyu Star Wa Hollywood anayekula Udongo.

  Muigizaji maarufu wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley,amesema wiki hii kuwa  yeye hupenda kula udongo kila siku ili kuwa na afya bora. Shailene anasema hupima kijiko kimoja cha udongo na...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live