Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Taarifa kuhusu Kocha wa Yanga kusitisha mkataba wake na Yanga.

$
0
0
kochaTaarifa ambayo imetolewa na Uongozi wa Yanga ni juu ya kuacha kazi kocha wa timu hiyo Hans Van Der Plujim ambaye aliungana na timu hiyo January 2014.

sababu za kocha huyo kuacha kazi ni kile kilichoelezwa kuwa amepata dili nchi nyingine na mkataba wake na Yanga ulikua unamalizika July mwaka huu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632