Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maskini Huyu Mwizi Ona Jinsi Teknolojia ilivyomuumbua,aliiba simu ikajipiga...

 Jinsi teknolojia inavyokua kuna baadhi ya vitu kwenye miaka inayokuja vitashindikana kufanyika kutokana na maboresho yanayofanyika kuvidhibiti.Unaambiwa kuna simu ya mkononi iliibwa lakini baadae...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 5 za Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa wakiapishwa mjengoni Dodoma leo.

 Wabunge wapya walioingia mjengoni msimu huu ni pamoja na Mbunge Ridhiwani Kikwete kutoka jimbo la Chalinze na mbunge Godfrey Mgimwa kutoka jimbo la Kalenga leo wameapishwa rasmi kwenye Bunge la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha za jinsi mpenzi wa yule bilionea mbaguzi wa Marekani anavyokwepa...

Huyu mrembo anaitwa V Stiviano ambae ndio alivujisha maongezi ya simu kati yake na bilionea Donald Sterling ambae alitoa maneno mazito yenye ubaguzi dhidi ya watu weusi kwa kusema hataki kuwaona watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 6 za utani kwa Jose Mourinho na staili yake ya kupaki basi.

Sehemu ya headlines za karibuni za kocha wa Chelsea Jose Mourinho ni pamoja na mbinu yake ya kujaza wachezaji golini ambayo imepewa umaarufu wa ‘basi la Mourinho’Baada ya kulaumiwa na baadhi ya makocha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE MZITO KUTOKA KWA FID Q BAADA YA KUSHINDA TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS UKO...

Msanii Fid Q amehabarisha kuwa kila mtu amefurahi kwa yeye kushinda Tuzo ya Mwana Hip Hop Bora wa Mwaka , Amesema hiyo inajidhihirisha hata kwenye Social Media kila mtu anasifia na kukubali ishindi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii Ndio Habari Nzito inayomhusu Beyonce na Jay Z Kwa Sasa.

Jay Z na Beyonce wameripotiwa kuwa wanatarajia kumpata mtoto wao wa pili na kwamba wao wameifanya iwe siri.Tetesi za ujauzito wa Beyonce zimeelezwa na Jarida la OK! Kuwa wawili hao walikuwa na mpango...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mganga wa Diamond Aibuka na Mapya Baada ya Tuzo Saba Za Diamond.

Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambaealiwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu namwanamuziki Diamond ameibuka na kusemakuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaanakubwa sana kwenye kazi zake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matokeo ya Man United vs Hull City May 6 Yako Hapa.

Game ya Manchester United vs Hull City May 6 2014 imeisha kwa Man U kuchukua ushindi wa 3 zilizofungwa na Willson kwenye dakika ya 31 na 61 alafu Van Persier dakika ya 86 huku Hull wakiondoka na moja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ray C Hoi Kitandani, Adaiwa Kuugua Ugonjwa Mpya.

Nimepata Habari kuwa Mwanamuziki Ray C yupo hoi Kitandani Akiugua Ugonjwa Mpya Unaojulikana kama Homa ya Denge...Inasemekana Baada ya kutoa tuzo ya Kill  Siku ya Jumamosi Kesho yake alianza kuumwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu Ndio Shosti Mpya wa Wema Sepetu Baada ya Kumtema Kajala.

Wakati kajala akiwa bado amem-miss Best yake Wema Sepetu na kusubiri kwa hamu siku ile ifike waweze kusuluhisha tofauti zao, huku nyuma ushosti wa Wema na Mwigizaji mwenzie maarufu kama AutyEzekiel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huwezi Kuamini Huyu Ndio Penny Kabla Hajawa Maarufu....

 Penny Enzi zake Kabla Hajawa Maarufu..Kweli Camera 360 kiboko ...Uwezi amini ni yeye.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mrembo V Stiviano ameyaeleza yote kwa mara ya kwanza kuhusu bilionea...

V Stiviano ambae ni mrembo alievujisha mazungumzo ya simu ya mkononi kati yake na bilionea Mmarekani mmiliki wa timu maarufu ya mpira wa kikapu ya L.A Clippers Donald Sterling alietoa maneno ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATARI-NDEGE YAVUNJIKA KIOO IKIWA ANGANI.

Ndege ya Delta Airlines aina ya Boeing 767-300 ilikua ikipaa urefu wa futi 38,000 angani na kisha ghafla rubani akawasiliana na abiria ili kuwajulisha kwamba ndege itatua kwa dharura Albuquerque...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUZO ZA DIAMOND ZAZUA BALAA..ZAPELEKWA KWA WEMA, FAMILIA YACHARUKA.

Habari zilizosambaa leo kutoka Kwenye Gazeti Moja zinasema Familia ya Diamond Pamoja Na marafiki walishangazwa na Kitendo cha Diamond Kuzipeleka Tuzo Saba Alizoshinda kwa Wema Sepetu Badala ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE AKI WA BONGO MUVI AFUNGA NDOA.

Maharusi hao wakisindikizwa na wapambe kuingia ukumbini.Cherekochereko! Msanii wa filamu za Kibongo, Meya Shaban ‘Aki wa Bongo Muvi’ ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa na msanii mwenzake, Amina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRODUCER WA WIMBO WA DIAMOND NUMBER 1 ALIA NA WAANDAJI WA KTMA KWA KUMNYIMA...

Producer Sheddy Clever ambae ni Mwandaaji wa Wimbo wa Diamond Number 1 uliochukua Tuzo Nyingi katika Tuzo za Kilimanjaro Awards zilizofanyika Jumamosi wiki iliyopita.Ameonyeshwa kukerwa Kwa Kukosa Tuzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKIKA WEMA SEPETU NAE ANASTAHILI KUPEWA TUZO, ANGALIA LIST YA WANAUME MASTAR...

Wema Sepetu ni miongoni mwa wasanii wenye mvuto sana hapa Tanzania na tunaweza kusema hata Afrika Mashariki. Amejipatia umaarufu mara ya kwanza baada ya kushinda taji la Miss Tanzania mwaka 2006. Baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hapana Chezea Azam TV Kwa Mambo Ya Fedha.

AZAM Tv imefanya kufuru kwa kutoa udhamini wa Sh 361.6 milioni kwa ajili ya kurusha ‘live’ mashindano ya mpira wa kikapu ya Miji Mikuu ya Afrika Mashariki na Kati, ambayo yameaanza jana Jumanne Uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUUGUA ULE UGONJWA MPYA,HII SASA NI HABARI NJEMA KWA RAY C.

Mwanamuziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, ametoka katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa.Mwanamuziki huyo ambaye amekuwa katika tiba ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rihanna Amemaliza Mkataba Na Def Jam, Sasa Yuko Chini Ya Hii Lebel Ya Huyu...

Rihanna ameamua kuchukua hatua kubwa zaidi kwenye mahusiano yake na record lebel ya Jay Z ‘ Roc Nation’ kwa kutia wino mkataba wa kufanya kazi na lebel hio baada ya kumaliza mkataba wake wa muda mrefu...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live