
Moja kati ya vitu vilivyoleta shangwe kwenye hii game ni wakati kocha wa muda wa Manchester United Ryan Giggs alipoingia uwanjani na kucheza kwenye kipindi cha pili ambapo ndani ya dakika hizo alikosa goli moja kali la kuachia shuti la mbali lililolenga goli lakini kipa akapangua.