Hii Nguo Aliyovaa Senator Mike Sonko Ya Washangaza Rais Uhuru Kenyatta Na...
Senator Mike Sonko hivi karibuni ameweshangaza rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake Ruto kwa kuvalia vazi ambalo sio sahihi kwenye shughuli kama iliyokuwa ikiendelea na kuonekan tofauti na...
View ArticleGirlfriend wa Cristiano Ronaldo ashambuliwa kwa kupost picha akiwa mtupu na...
Tangu wasichana 276 wa Nigeria walipotekwa nyara na kundi la Boko Haram, watu mbalimbali maarufu duniani wamepost picha kwenye mitandao ya kijamii wakiwa na mabango yaliyoandikwa ‘Bring back Our...
View ArticleCheki walichokiandika mastar kadhaa wa Tanzania baada ya Diamond kutangazwa...
Hii ni Tanzania ambayo kwa sasa Diamond Platnumz ameamua kutuonyesha kwenye ramani ya Dunia,imekua ni good news kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla,baadhi ya mastar wa Tanzania wamekubali kutoa...
View ArticlePost ya Aunt Ezekiel kuhusu homa ya Dengue.
Kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Dengue ambao unamiliki headlines sasa hivi Tanzania hasahasa Dar es salaam imesababisha baadhi ya watu wakiwemo mastaa kubadilisha hata aina ya mavazi kama...
View ArticleORODHA YA WASANII WA KILI MUSIC TOUR 2014 YATAJWA, TWEET YA JAYDEE YAMPONZA,...
Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini itakayoanza Mei hadi Septemba 2014. Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex, Proffesor Jay,...
View ArticleHuyu Ndio Kinara wa Uwizi wa Mabank Tanzania.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum D’Salaam limefanikiwa kumbaini mtuhumiwa mhimu ambaye ni kinara wa mtandao wa wizi katika mabenki ambaye anajulikana kwa jina la RONALD S/O MOLLEL umri miaka 37,...
View ArticleNahodha wa Meli ya Korea Kusini Afunguliwa Kesi ya Mauaji.
Nahodha wa Meli ya Korea Kusini iliyozama mwezi uliopita ikiwa na wanafunzi wengi, amefunguliwa mashitaka ya mauaji pamoja na wenzake watatu.Kwa mujibu wa CNN Muendesha mashitaka mkuu, Yang Joon-jin...
View ArticleMwimbaji wa muziki wa dansi Amina Ngaluma amefariki Dunia.
Mmoja wa waimbaji nyota wa muziki wa dansi waliowahi kutokea hapa nchini Amina Ngaluma amefariki dunia.Muimbaji huyo alitamba na bendi za Tam Tam na Double M Sound,amefia nchini Thailand alipokuwa...
View ArticleKunguni watikisa shule ya Pugu aliyofundisha mwalimu J.K Nyerere, wanafunzi...
Moja kati ya maadui wakubwa wa usingizi ni mdudu ‘kunguni’ ambaye anaweza kumfanya mtu anayepanga kujipumzisha kuhisi anaadhibiwa kwa kufinywa.Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Pugu iliyoko Dar es...
View ArticleKiatu Kipya Cha Puma Kitatumika Kwenye Kombe La Dunia Na Balotelli Na Fabregas.
Kampuni yakutengeneza vifaa vya michezo kama jezi,viatu,mipira na kadhalika ya Puma imezindua viatu vya Evo Power kwa ajili ya kombe la dunia 2014 linalofanyika Brazil mwaka huu.Fahamu uzinduzi wa...
View ArticleTaarifa kuhusu kutangazwa kwa kocha mpya wa Man Utd.
Wiki kadhaa baada ya kumtimua kocha David Moyes klabu ya Manchester united wanakaribia kumtangaza kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi Louis van Gaal kuwa meneja mpya wa timu hiyo.Mholanzi huyo tayari...
View ArticleMaajabu ya jinsi mtoto wa miaka minne alivyoookolewa na Paka baada ya...
Yani hii imehuzunisha watu wengi sana kwa jinsi mtoto alivyovamiwa lakini ikawapa furaha baadae baada ya paka kutokea na kumuokoa huyu mtoto ambae wanaishi nyumba moja huko Marekani.
View ArticleSerikali ya Tanzania imethibitisha mradi wa Treni za juu kama hizi kujengwa...
Umekua ni usafiri mwingine mzuri na wenye starehe yake kama ukipata nafasi ya kuutumia kwenye nchi zilizoendelea kama Marekani, Uingereza Dubai na kwengineko ambako kuna watu wengine wanategemea sana...
View ArticleDiva wa Clouds FM Awashukia Wote Wanao Sema Anajipendekeza kwa Wema Sepetu.
Diva ameandika katika page yake instagram kama ifuatavyo:Kuna Mtu Amenitusi na team zao sijui nini na nini... So umeniita Kibaraka wa @wemasepetu ryt?! very good .. ndio mie kibaraka wake kwani do you...
View ArticleBreaking:Milipuko mingine yalipuka Kenya.
Taarifa kutoka Kenya ambazo zimetoka muda huu ni kwamba milipuko miwili imetokea karibu na Soko kubwa la nguo la Gikomba mjini Nairobi.Watu kadhaa wameripotiwa kujeruhiwa na kuna hofu ya watu wengine...
View ArticleYule mfanyakazi aliyetoa video ya Jay Z akipigwa na Solange amefukuzwa kazi.
Inasemekana yule mfanyakazi ambaye aliitoa ile video inayomuonyesha rapa Jay Z akishambuliwa na shemeji yake Solange Knowles ndani ya lifti ya hotel hiyo amefukuzwa kazi.Katika video hiyo siku hiyo...
View ArticleMbali na kufeli kwa msimu uliopita,hii ndiyo faida waliyopata Manchester United.
Kwa mfatiliaji yoyote wa mpira wa miguu ligi ya England Manchester United ni timu ambayo haikufanya vizuri makombe yote ya msimu uliopita kitu ambacho kimekua tofauti kwa timu hiyo.Kwenye kipindi cha...
View ArticleMwanamke ahukumiwa kifo kwa kubadili dini na kuolewa na mume Mkristo.
Mahakama nchini Sudan imemuhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanaume mkristo.Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag ambae baba yake ni muisilamu alishitakiwa kwa kosa...
View ArticleKaburi la Shehe Yahya Lajengwa Kikristo, Familia Yang'aka na Kusema Haya.
Kaburi la aliyekuwa Mnajimu Mashuhuri Afrika Mashariki, marehemu Shehe Yahya Hussein limejengwa tena baada ya hivi karibuni kubomolewa na watu wasiojulikana, lakini sasa limedaiwa kujengwa Kikristo na...
View ArticleWema Sepetu na Aunt Ezekiel Wamwingiza JB Mkenge.
IMEKULA kwake! Wauza nyago kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wamemuingiza mkenge staa mwenzao, kaka mkubwa Jacob Steven ‘JB’ baada kukubali mwaliko kisha kumkatalia...
View Article