Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Kiatu Kipya Cha Puma Kitatumika Kwenye Kombe La Dunia Na Balotelli Na Fabregas.

$
0
0

bb
Kampuni yakutengeneza vifaa vya michezo kama jezi,viatu,mipira na kadhalika ya Puma imezindua viatu vya Evo Power kwa ajili ya kombe la dunia 2014 linalofanyika Brazil mwaka huu.
Fahamu uzinduzi wa viatu hivi umefanywa na wachezaji wawili ambao ni Super Mario Balotelli wa Italia na  Cec Fabregas kutoka Hispania.
v 1v 2v 3v 4

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles