Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jina Kabula Amteka Kimapenzi Madee Wanaongozaja kama Kumbi Kumbi.

Siku za Karibuni Mwigizaji wa Sinema za Kibongo Jina kabula inasemekana amelinasa penzi la Mwaimbaji maarufu wa Bongo Flava Madee .Habari zilizozagaa ni kuwa huwa jamaa wanaongozana kila mahali kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu Ndio Mpenzi wa Hashim Thabit Aliye Zaa Nae.

Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘Thunder aka OKC’ katika jijini laOklahoma, Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The Dream wiki sita zilizopita amepata mtoto wa kiume(Baby...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtindo Mpya Wa Nywele Wa Mike Sonko Katika Kumpa Ushirikiano Rais Uhuru...

 Tunapozungumzia fashion ya mwanasiasa au kiongozi wa raia sehemu yeyote duniani mara nyingi tunatazama mavazi na muonekano wa heshima mbele za watu.Kwa Seneta wa Nairobi Mike Sonko hio ameweza kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIMBO MPYA WA LUPOJIZO IKO HAPA,NI YULE MWALIMU WA CHUO KIKUU ANAYEFANYA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII MWINGINE WA FILAMU ZA BONGO AFARIKI DUNIA.

 Tukiwa na wiki moja toka tumzike muongozaji na muigizaji Adam Kuambiana leo asubuhi imetoka taarifa nyingine ya kifo cha miongoni mwa waigizaji wa kike toka Bongo Movie.Aliefariki ni mwigizaji anaitwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI, PAPA FRANCIS NA WAZIRI MKUU WA ISRAEL,...

Kanisa Katoliki duniani, Papa FrancisYerusalemu, Israel. Malumbano makali ya maneno na hoja yamezuka baina ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ITAZAME DAR ES SALAAM YA MWAKA 1887

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA JINSI HOJA YA LISSU JUU YA WABUNGE KUOMBA MSAADA LAPF ILIVYOLETA SHIDA...

Tundu Lissu (Mbunge-CHADEMA)Huu ni muendelezo wa habari ya mbili zilizotolewa huko nyuma juu ya Tundu Lissu kutaka kupeleka hoja ya kuwalipua baadhi ya wabunge wanaomba msaada kutoka LAPF. Unaweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO (28/05/2014) INATIMIA MWAKA MMOJA TANGU HILI JEMBE LITUTOKE!!! R.I.P NGWEAR

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwandishi wa vitabu Maya Angelou afariki dunia.

Mwanaharakati, mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu duniani Maya Angelou amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86.Ikiwa ni moja katika ya sauti kubwa za kifasihi duniani, Maya alitengeneza jina lake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Home » Michezo » Baadhi ya washindi wa ligi kuu Tz bara 2013/2014 timu bora,...

Zawadi na tuzo zimetolewa kwa timu zilizofanya vizuri na wachezaji waliong’ara msimu wa ligi kuu ya Vodacom 2013/2014 na kukabidhiwa zawadi kwa thamani ya pesa na vikombe leo na mdhamini wa ligi hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na jamaa aliyempa mwanae jina la Yesu ingawa kanisa limekataa.

Ndiritu Njoka kwenye headlines tena wakati huu sio kukabiliana na Wanawake wanaowapiga Waume zao bali wakati huu jamaa anataka kanisa na Presibiteria ya Africa Mashariki-PCEA kumbatiza mwanae wa kiume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU YA DUNIA,KUTANA NA GARI LINALOJIENDESHA LENYEWE.

Kampuni ya Google imeanzaa kutengeneza magari yanayojiendesha yenyewe ambapo kwa miaka minne walikua wakifanyia kazi ili kufanikisha mpango wa kutengeneza magari yanayojiendesha yenyewe.Magari hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUBWA ZAIDI KUTOKA MKOA WA MARA WIKI HII IKO HAPA,JIONEE MWENYEWE.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huu ni mwaka wa Ronaldo – kingine alichomfunika Messi hiki hapa.

Cristiano Ronaldo ameendelea kumfunika mpinzani wake Lionel Messi, baada ya kumshinda kwenye uchezaji bora wa dunia, ufungaji bora wa La Liga na Champions League, na utajiri, sasa kwa mujibu wa taasisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Weusi Watambulisha Bidha Mpya Mtaani.

  Weusi ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania wanaojua kutumia jina na kazi zao kujiingizia kipato zaidi nje ya muziki.Awali kwenye video ya Gere tuliona nguo na mavazi tofauti ikiwa ni awamu ya kwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONGE MOJA LA SHOW NDANI YA MUSOMA KESHO TAR 30/05/2014.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA 10 ZA WEMA SEPETU MIAKA HIYO AKIWA BINTI MBICHI.

 Picha zote hizi zilipigwa kati ya mwaka 2006 na 2007 na zinamwonyesha mwanadada Wema Sepetu ( Homa ya Jiji ) miaka hiyooooo bado akiwa binti mbichi kabisa. Tazama picha hizo hapa chini 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mume wa muimba injili Flora Mbasha anatuhumiwa kumbaka shemeji yake.

Muimbaji injili maarufu Tanzania Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha, a,mbaye anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka shemeji yake mwenye umri wa miaka 17.Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND APIGA CHINI SHOW HUKO NG'AMBO

Diamond kupitia Instragram ameandika hivi:Kutokana na Promoter kushindwa kutimiza makubaliano hadi sasa, imetubidi kukatisha show ya Northampton...! NEW YORK, NEW JERSEY niko njiani tukutane tare 31 ya...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live