
Diamond Platnumz kwenye kipengele hichi cha tuzo kubwa za Television kubwa ya burudani Marekani ya BET yupo kama Best International Act Africa na anawania tuzo hii na wasanii Davido kutoka Nigeria, Mafikizolo kutoka South Africa, Tiwa Savage kutoka Nigeria, Toofan na Sarkodie kutoka Ghana.
BET imetumia twitter kutoa hii taarifa kama kuthibitisha uchaguzi wa Diamond na kuumpa hongera kama msanii peke Africa Mashariki.