
Kikosi cha Brendan Rodgers kimemaliza ligi pointi 2 nyuma ya Manchester City, ambao walibeba kombe lakini wamezidiwa kiasi cha £1m na Liverpool.
Liverpool wamepata £99m kwa ujumla wa mapato yote, Man City pamoja na kutwaa ubingwa wamepata £98m, United pamoja na kuishia nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi wameingiza £91m = Listi kamili ipo kwenye picha namna timu zinavyoingiza mapato kwenye EPL baada ya msimu kuisha.![Untitled copy]()
