Kitale:Nimejifunza mengi kwenye kifo cha Sharo Milionea, nimeacha ujumbe kwa...
Muigizaji na mwimbaji nchini Kitale yuko Tanga alipoenda kuhudhuria Dua ya kumuombea marehemu Sharo Milionea ikiwa ni mwaka mmoja tangu afariki dunia kwa ajali mbaya ya gari.Kitale ambaye ndiye msanii...
View ArticleBelle 9: Naishi na mke wangu japo sijamuoa.
Muimbaji wa Morogoro na hitmaker wa Masogange, Belle 9 amesema kwa sasa anaishi na mchumba wake ambaye tayari anamchukulia kama mke wake japo hajamuoa.Akiongea na kituo kimoja cha radio jana, Belle...
View ArticleMagazeti ya Udaku yazidi kumwandama Bob Junior, yadai kuwa ana uhusiano na...
Magazeti ya udaku yameendelea kumnyima raha na usingizi Rais wa Masharobaro, Bob Junior na leo yamemuangushia bomu jingine.Gazeti la Sani leo limeibuka na habari yenye kichwa cha habari, ‘Baada ya ndoa...
View ArticleRAIS WA MALAWI JOYCE BANDA ASHITAKIWE UMOJA WA NCHI ZA AFRICA.
Taasisi isiyo ya kiserikali inayoshughulikia mambo ya utawala bora na maendeleo nchini (The Center for Good Governance and Development in Tanzania -CEGODETA),imeitaka Serikali ya Tanzania kumshtaki...
View ArticleBaada Ya Miaka 5 Ya Mapenzi Mazito,Drama Zimeanza Kati Ya Mariah Na Nick.
Mariah Carey na star ambaye ni mzazi mwenzake Nick Cannon ni wapenzi wa Hollywood wanaoaminika kuwa na mapenzi wa kweli sana kati yao na huwa wanaonekana pamoja kwenye shughuli nyingi zinazo fanyika...
View ArticlePicha Na Video, Boy Friend Wa Rapper Nicki Minaj Achorwa Tattoo Ya Nicki...
Boy Friend wa Rapper Nicki Minaj amesema watu wengi hujichora tattoo za watu wasio wafahamu na hata hawajawahi kukutana nao ila yeye anafanya kitu tofauti kabisa kwenye mkono wake kwa kuchora tattoo ya...
View ArticleHICHI NDICHO ALICHOSEMA DIAMOND BAADA YA KUTOA TANGAZO LAKE LA KUMTAFUTA...
Siku ya jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa...
View ArticleWasanii Kumi Wasio Vuta Wala Kutumia Kilevi Chochote Wako Hapa.
Rapper na mfanya biashara mkubwa 50 Cent amefungua orodha ya wasanii wasio vuta wala kutumia kilevi chochote. Nakusanua kuwa anapenda kuonekana anafanya vitendo hivyo kwenye filamu na video zake ila...
View ArticleAlikuja Dar kama ‘house boy’ sasa ametajirika.
Wilfred Sindamka mwenyeji wa wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma, alihamia jijini Dar es Salaam mwaka 1995 akitokea mkoani Dodoma ili kujaribu kutimiza ndoto yake ya maisha. Endelea….“Nilimaliza darasa la...
View ArticleMGANGA WA KIENYEAJI AMUUA MTEJA WAKE WA KIKE BAADA YA KUVUTA UUME WAKE...
MGANGA wa kienyeji Jumatano aliieleza Mahakama Kuu kwamba, “alimuua mwanamke wa miaka 18 kwa sababu alimvuta uume wake walipovua nguo kushiriki ngono.”Lakini Jaji Florence Muchemi alimwamuru...
View ArticleFat Joe atoka jela baada ya kutumikia kifungo cha miezi mitatu kwa kosa la...
Rapper Joseph Cartagena aka Fat Joe ametoka jela jana (November 28) alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi minne kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi.Joe (42) jana alipost video instagram...
View ArticleHawa jamaa wanaizunguka dunia na hii Bajaji.Walikuja mpaka Tanzania.
Watanzania wengi tunafahamu Bajaji ni usafiri wa hapa na pale tu, yani sio usafiri wa kubeba abiria kwenye masafa marefu lakini Walimu wawili raia wa Uingereza wamekipiga kibajaji gia na kupita nacho...
View ArticleHuyu ndio mrembo wa Kitanzania alietangazwa mshindi wa taji la “Miss...
Mtanzania, Malkia Kassu ( wa tatu toka kushoto) akiwa na washindi wenzake – wote wamevalia taji na kubeba vikombe vya ushindi.Mashindano ya 2013 yalifanyika London Jumamosi Novemba 26 na kwa mara ya...
View ArticleKauli 3 za Mbunge Peter Msigwa kuhusu Zitto Kabwe.
Peter Msigwa ni mbunge wa Iringa mjini kwa ticket ya Chadema ambapo kwa siku kadhaa amekua akiandika na kumkosoa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chadema (Zitto Kabwe) baada ya hii ishu ya Zitto...
View ArticleHIZI NDIZO SABABU 10 ZA WANAWAKE KUTOKUOLEWA NA KUISHIIA KUSAGANA TU.
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi...
View ArticlePROFESA BAREGU AITAHADHARISHA CHADEMA KUHUSU ZITTO KABWE.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara yanayoweza kukikumba hasa baada ya hatua yake ya hivi karibuni ya kumvua...
View ArticleRAY NA CHUCHU HANS SASA LIVE LIVE..WAOMBA WASIINGILIWE PENZI LAO.
Stori: Gladness MallyaAMA kweli penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Hatimaye uliokuwa uhusiano wa chini kwa chini wa nyota wawili wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans, siyo siri...
View ArticleBaada ya kupigwa mkwara afuate maadili, Miley Cyrus aperfom na Paka kwenye...
Miley Cyrus ambaye mara zote huzua story tata anapopanda kwenye majukwaa ya utoaji tuzo kwa visa vyake, alijikuta akibuni kitu tofauti na kuperform na taswira ya paka jukwaani kwenye AMAs wakati...
View ArticleMawazo ya Ommy Dimpoz yalipelekea Nemo kuimba 'My Number One', aelezea...
Mkali wa R&B ambaye aliwahi pia kushiriki shindando la BSS Nemo, amesema Ommy Dimpoz ndiye aliyemshauri kufanya wimbo wenye mahadhi ya Afro Pop tofauti na R&B, na kwamba wazo hilo lilipelekea...
View ArticleIbra Cadabra awataka waandishi wa habari wasahau mpango wa kumshindanisha na...
Mshambuliaji kutoka nchini Sweden na klabu bingwa nchini Ufaransa Paris St Germain Zlatan Ibrahimovic *Ibra Cadabra* amewapasha habari waandishi wa habari kwa kuwataka wasahau mpango wa kumshindanisha...
View Article