Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mshindi wa BBA 2013 Dillish Matthews kuonekana kwenye video mpya Flavour...

Mshindi wa Big Brother Africa 2013, Dillish Matthews wa Namibia, ataonekana kwenye video ya msanii wa Nigeria Flavour, ya wimbo wake ‘Ikwokrikwo‘.Video hiyo imeongozwa na Clarence Peters na kufanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA KUUZA " BIKRA " ZA WATOTO WAKE WA...

A woman and mother of 14 in Colombia tried to make ends meet by selling their daughters virginity for a couple hundred dollars.Margarita de Jesus Zapata Moreno, colombian, 45, was arrested this week...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANAISHI NA MABWANA WAWILI NYUMBA MOJA.

DUNIA ina kila kituko, kama hujawahi kukisikia omba Mungu akupe uzima! Mama mmoja, aitwae Elizabeth Selestine, mkazi wa Kigogo-Mburahati, Dar hivi karibuni alizua timbwili nyumbani kwake baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"DIAMOND SI MSANII BALI NI MPENDA NGONO TU" BABY MADAHA.

MSANII filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu kwa jina la (Baby Madaha) amesema kwamba msanii mwenzake wa muziki nchini,Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TABIA NZURI ZA WANAWAKE ZIMEHARIBIWA NA MAVAZI YA UCHI WANAYOVAA.

Kwanza ningependa tufahamu tabia nzuri,maadili mema,usikivu na Uelewa vinajengwa na malezi bora kutoka kwa wazazi na wapili walimu wetu mashuleni na tatu jamii inayotuzunguka wakiwamo marafiki na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jose Chameleone kutumbuiza jijini Mwanza December 24.

Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone anatarajia kuwaburudisha wakazi wa jiji la Mwanza kwenye mkesha wa Christmas, December 24.Mmoja wa wandaaji wa show hiyo aitwaye Ben, amewahakikishia wakazi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII TID ATUPWA MAHABUSU KWA KOSA LA KUMPIGA DEMU WAKE.

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamuziki wa Congo 'Tabu Ley Rochereau' afariki dunia.

Tabu Ley Rochereau amefariki dunia leo asubuhi baada ya kulazwa hospitali kwa muda mrefu nchini Ubelgiji.Akithibisha taarifa za kifo cha baba yake kupitia radio Okapi, mwanae Charles Tabu amesema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

''HUYU NDIO JAMAA ALOTAKA KUNICHOMA NA SIME ETI KISA DEMU WAKE KUONGEA NA...

Ama kweli nimeamini Maisha ni Watu na siku zote Tenda Wema Nenda zako.Huyo jamaa  aitwae Bondia Mada Maugo maskani yake Gongo la Mboto.Jana alikuwa na Uzinduzi wa Wimbo wake aloimbiwa na Bendi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

P-UNIT WACHUKUA TUZO MBILI ZA CHANNEL O KWA WIMBO WAO ULIO WAHI KUPIGWA...

It was a great night in Soweto as Channel O awarded Africa’s best music videos. Kenya’s P-Unit who had been nominated twice were the only double category winners at the event. Here is the full list of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Emmanuel Msuya ameibuka kidedea na kuwa Mshindi wa Epiq Bongo Star Search...

Zawadi kwa mshindi wa mwaka huu ni Milion hamsini[50]ambayo kakabidhiwa jukwaani.Kinyanganyiro cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo Star Search 2013 kimekamilika alfajiri hii kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KHADIJA KOPA AVAMIWA..APONZWA NA MWANAUME TATA.

Stori:  Hamida Hassan na Gladness MallyaMASKINI! Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa amevamiwa na vijana wahuni wakitaka kumfanyia fujo kwa madai ya kukatiza mitaani akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uvivu wa Wabongo kupiga kura umemkosesha tuzo AY.

Jumamosi ya November 30, tuzo za 10 za video za Channel O aka CHOAMVA zilitolewa huko Kliptown, Soweto (Johannesburg) nchini Afrika Kusini.Mwaka huu ni AY pekee ndiye alikuwa msanii wa Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMANI MADEMU WETU WA BONGO NDIVYO WALIVYO.EBU SOMA HAPA.NDIO MAANA...

AdminMimi ni Msichana wa Miaka 21 , Nasoma chuo kimoja hapa dar ..nimetokea mkoa niko mwaka wa Pili sasa , huko nilipotokea nina Boyfriend ambae nimekuwa nae kwa muda mrefu toka secondary ila swala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HII GARI YA AJABU!!

Mara nyingi tumezoea kuziona Limousine ndefu kwenye harusi tofautitofauti lakini Range hii ambayo ipo Kenya inaweza kuwa ndio ndefu zaidi kuliko Range zote ambazo zipo Afrika Mashariki ambapo unaweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA HAKUKALIKI VIONGOZI WAZIDI KUJIUZULU-SINGITA NAPO KIMENUKA.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(chadema),Mkoani Singida, Wilfred Kitundu, amejiuzulu rasmi nafasi hiyo akipinga maamuzi ya Kamati Kuu kuwavua nyadhifa za uongozi viiongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INADAIWA WAYNE ROONEY AMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME BAADA YA KUPANDIKIZA NYWELE...

Mchezaji nyota wa timu ya Manchester United na England, Wayne Rooney anadaiwa alipoteza nguvu zake za kiume baada ya upandikizaji wa nywele mwaka jana.Kituo cha runinga cha KTN cha nchini Kenya,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAJALA AKWEPA TENA GEREZA AREJEA URAIANI.

Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.Kajala sasa anapeta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTIKILA "KUNA CHADEMA MBILI-"CHADEMA CHUMBANI NA CHADEMA SEBULENI"

Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI."Amemtuhumu mmoja wa waanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YABAINIKA KUWA BONGO MOVIES WAMUONEA WIVU WEMA SEPETU.

Manager wa Wema Sepetu Martin Kadinda Amejitokeza na kusema kuwa Baadhi ya Wasanii wenzake na Wema Sepetu ndio wanao mchafua Wema mitandaoni kwa kutumia Majina Mengine kwa kile anachodai ni wivu wa...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live