Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Mshindi wa BBA 2013 Dillish Matthews kuonekana kwenye video mpya Flavour 'Ikwokrikwo'

$
0
0
Video hiyo imeongozwa na Clarence Peters na kufanyika Lagos, Nigeria.
‘Nilikuwa nasema siku zote kuwa kama nikiwa kwenye video ya muziki lazima niwe lead, lazima iwe ya mwanamuziki mkubwa na wanatakiwa wanilipe vizuri,” alisema Dillish.
Video hiyo itatoka wiki ya kwanza ya mwezi December.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles