Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASTARA ANAJUTA KUMFAHAMU HUYU MWANAMME.

Juzi na jana kulikuwa na habari katika gazeti na mitandao mingi kuwa Wastara na Bond Bin Suleiman ni wapenzi na wamekuwa wakifanya siri sana huo uhusiano wao. Habari ambazo zilinukuu chanzo kimoja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Adam Juma amjibu Nisher, amwambia asitafute ustaa kwa chatu aliyelala.

Muongozaji mkongwe wa video, Adam Juma  ameamua kujibu ujumbe wa kejeli alioandikiwa na muongozaji wa video aliyekuja juu nchini, Nisher.Nisher alipost picha yenye maneno yanayoonekana kuwa dongo kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU!! MAITI HUFUKULIWA MAKABURINI ILI KUBADILISHWA NGUO KATIKA KISIWA CHA...

KILA mwaka huko kaitika kisiwa cha Sulawesi, Tana Toraja, Indonesia, wafu (au maiti) hufukuliwa kutoka makaburini ili kubadilishwa nguo na kuwatembeza kijini hapo. Watu wa eneo hilo wa kabila la Toraja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MANENO MAZITO YA MH ZITTO KABWE JUU YA MAREHEMU AMINA CHIFUPA.

Hii picha ni ya May, 2011 kipindi ambacho Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe alienda kutembelea kaburi la rafiki yake kipenzi Marehemu Amina Chifupa aliyekuwa Mbung wa CCM Kupitia Vijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPANA CHEZEA KIROBA WEWE!! ONA ILIVYOMFANYA HUYU MWANAJESHI.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH SUGU,MBUNGE WA MBEYA MJINI AIPONGEZA CHADEMA KWA KUMVUA MADARAKA ZITTO...

MHE ZITTO ZUBERI KABWE.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge anayelelewa na wake zake mama ntilie.

 Aliyekuwa mbunge wa Songea mjini, Abdulrabi Ali Yusuph(66) akizungumzia maisha yake baada ya kufungwa jela akiwa nyumbani kwake hivi karibuni. Picha na Lauden Mwambona. . Aliyekuwa Mbunge wa Songea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIO MSANII WA VITUKO SHOW ALIYEPIGWA NA MKE WAKE KIPIGO CHA PAKA MWIZI.

HUYU ndiye msanii  niliyemzungumzia wiki iliyopita kuhusu kichapo alichopewa kama mnavyomuona hapo pichani.Anatambulika kwajina  ''Kazi Kijeba''.. MSANII kutoka kundi la BONGO SUPERSTAR'S COMEDY...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA KWELI MAAJABU YA DUNIA!! NYOKA WAMFANYIA MTU MASAJI KWA GHARAMA YA DOLA 47

UNAPENDA kufanyiwa masaji na nyoka? Unaweza kukaza roho na usiogope kung’atwa? Kama ndio basi nenda nchini Indonesia utaipata kwa raha zako.Masaji hiyo inapatikana Bali Heritage Reflexology and Spa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO AVUNJWA KIDOLE NA MWALIMU WAKE BAADA YA KUINGIA DARASANI NA NYWELE NDEFU.

Wiki ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia na watoto ikiwa imeanza kuadhimishwa duniani Novemba 25 mwaka huu bado vitendo hivyo vimezidi kushamiri Mkoani Mbeya ambapo mwanafunzi wa darasa la nne...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO:TUNDU LISSU AKIMSOMEA MAKOSA 11 ZITTO KABWE YA KUPANGA KUKIPINDUA CHAMA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO HABARI KUHUSU GARI JIPYA KABISA LINALOJIENDESHA LENYEWE.

Taarifa ikufikie kutoka Samukawa, Kanagawa Japan ambako stori kwenye headlines ni kampuni ya Nissan kupata furaha kubwa baada ya kufanikiwa kwa jaribio la gari walilolitengeneza ambalo linajiendesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Download Na Sikiliza Wimbo Mpya Wa Belle 9 - Wanitaka.

View Article


KUTANA NA MAREHEMU KANUMBA NA SHAROMILIONEA KATIKA KIPANDE HIKI CHA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHIDI BENZI KAVURUGWA,ONA ALICHOPOST.

Hakuna tena kitu kizuri kwa Chidi Benz siku hizi. Kwa muda mrefu rapper huyo ambaye hivi karibuni ametokea kukubalika sana nchini Kenya (thanks kwa mashavu anayopewa na Nonini) ameonekana kutoa yake ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mshindi wa EBSS kutotumia zawadi kwa mapenzi yake, atatakiwa kuwekeza kwenye...

Waandaji wa shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search, wamesema mshindi wa mwaka huu ambaye ataibuka na kitita cha shilingi milioni 50, atasimamiwa na uongozi wa shindano hilo ili kuhakikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shetta amshirikisha Diamond kwenye wimbo wake wa kufungia mwaka 'Mama Qaylla'

Ile collabo iliyozaa ngoma kali ‘Nidanganye’ mwaka 2012  kati ya Shetta na Diamond Platinumz inajirudia tena mwishoni mwa mwaka huu ambapo ngoma ya wakali hawa itasikika hewani kabla ya kuumaliza mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bamboo akiponda kiwanda cha muziki Kenya, asema ni 'fake'

Rapper Bamboo ambaye kwa sasa ameokoka na kuingia kwenye muziki wa GOSPEL amesema kiwanda cha muziki wa dunia nchini Kenya ni fake.Hitmaker huyo wa Compe, aliyeokoka September mwaka huu amesema wokovu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Forbes yatoa orodha ya waigizaji wa TV wanaliopwa zaidi duniani.

Mtandao wa Forbes umetoa orodha ya waigizaji wa TV walioingiza fedha nyingi zaidi mwaka 2013. Nafasi ya kwanza imekamatwa na Sofia Vergara ambaye katika kipindi cha June mwaka 2012 hadi June 2013...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mikoa 11 kuingizwa kwenye mfumo wa dijitali ndani ya miezi3-8 ijayo, yasema...

Awamu ya pili ya Tanzania kuhamia kwenye matangazo ya mfumo wa dijitali inatarajia kuanza mwakani, ambapo mikoa iliyosalia itahama kutoka analojia kwenda dijitali.Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live