November 28, 2013, 10:43 am
Boy Friend wa Rapper Nicki Minaj amesema watu wengi hujichora tattoo za watu wasio wafahamu na hata hawajawahi kukutana nao ila yeye anafanya kitu tofauti kabisa kwenye mkono wake kwa kuchora tattoo ya baby mama wake dats Nicki Minaj Baby.
Video akichorwa Tatto na anachosema iko hapa.
↧