Rapper na mfanya biashara mkubwa 50 Cent amefungua orodha ya wasanii wasio vuta wala kutumia kilevi chochote. Nakusanua kuwa
anapenda kuonekana anafanya vitendo hivyo kwenye filamu na video zake ila kwenye maisha ya kweli hapendi kabisa pombe wala kuvuta sigara. Wasanni wengine wako hapa
Hopsin
Andre 3000
Tyler The Creator
Lecrae
K'Naan
Rob Base
Boots Riley
Lauryn Hill
Source-hiphopwired.com