Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAWA NDIO WACHEZAJI WALIOITWA KWENYE TEAM YA TAIFA STAR.

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars Salum Mayanga ametangaza wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho Aprili 20 kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi ambayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAULI NANE AMBAZO MWANAMKE AKIZITOA JIHADHARI SANA.

1. Mwanamke anaposema, 'sasa hivi' au 'dakika moja tu,' maana yake ni kwamba, ni nusu saa ijayo. kwa mwanamke sasa hivi ya kujiandaa ina maana sasa hivi ya muda mrefu mara sita zaidi kuliko ule...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Drake amnunulia Rihanna pete yenye thamani ya zaidi ya milioni 68.

Drake na Rihanna wanaendelea kushibana na penzi lao linachanua huku wakiripotiwa kuwa na mpango wa kuishi pamoja.Kwa mujibu wa gazeti la Daily Star, chanzo kimoja kimeeleza kuwa Drake amemnunulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rapper aliyejaribu kujiua kwa kujikata uume alikuwa ametumia madawa hatari 'PCP'

Rapper wa Marekani, Andre Johnson aliyejaribu kujiua kwa kujikata uume wake aliwashangaza wengi kwa kuwa kitendo hicho sio cha kawaida na wengi walitaka kufahamu sababu hasa iliyompelekea kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU AIBUKA MSHINDI WA SHINDANO HILI.HONGERA ZAKE.

STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael ‘Lulu’, Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo usiku huu ndani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA,PENNY WAIPASUA FAMILIA YA DIAMOND.

Katika hali ya kushangaza, mastaa wawili Bongo, mwigizaji Wema Isaac Sepetu na mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wanadaiwa kuipasua familia ya kinara wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIYAMA NJIA PANDA KWA MITUNGI.

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Riyama Ally, amejikuta akiwa njia panda baada ya kutakiwa kunywa pombe ya kienyeji aina ya ugimbi ambayo hajawahi kunywa maishani mwake.Riyama aliingia kwenye mtihani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA AJIBU MAPIGO KWA STEVE NYERERE.

VITA ni vita! Mwanadashosti anayesukuma maisha laifu kupitia filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha amesema anamshangaa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDUGU WANAOKULA NYAMA ZA MAITI WAKAMATWA.

Watu wawili wanaotuhumiwa kula nyama za binadamu wamekamatwa baada ya kichwa cha mtoto wa miaka mitatu, kukutwa katika nyumba wanayoishi nchini Pakistan.Polisi waligundua tukio hilo la kutisha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatari,Ajibana katika sehemu ya tairi la ndege na kusafiri kwa masaa matano...

Kufuatia matukio kadhaa ya kigaidi, serikali ya Marekani imekuwa ikiimarisha ulinzi kwa teknolojia ya hali ya juu katika viwanja vya ndege. Lakini tukio lililofanywa na mvulana wa miaka 16 sio tu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA AWAJIBU WANAOMPONDA BAADA YA KUSHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL.

Tangu akabidhiwe tuzo yake ya Ijumaa sexiest girl, Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' tayari inaonekana ameshakutana na negative comments baada ya kushinda hiyo tuzo.Wema Sepetu ameibuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KIMYA KIREFU HATIMAYE MASOGANGE ATOBOA SIRI KUMHUSU JAMAA ALIYEMPA...

‘VIDEO queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’, amefunguka  kuwa aliyempa mzigo wa unga  na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa amevalia kininja, hali iliyomfanya ashindwe kumtambua....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER UNITED YAMTIMUA KOCHA WAKE.

Kocha David Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha katika klabu ya Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa kupitia mtandao wa Twitter unaweza kuicheki hapo chini……

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chris Brown hatarini kwenda jela miaka kadhaa.

Kesi ya Chris Brown inaanza kuwatia wasiwasi mashabiki wake kuwa huenda hali ikawa mbaya kwa muimbaji huyo baada ya mlinzi (bodyguard) wake kukutwa na hatia katika kesi iliyomkabili ya kumshambulia mtu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Malkia Elizabeth II afikisha umri wa miaka 88, sherehe kufanyika June 14.

Malkia Elizabeth II wa Uingereza jana (April 21) alifikisha umri wa miaka 88 huku akionekana mwenye afya tele.Siku moja kabla ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa (April 20) ilikuwa Jumapili ya Pasaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHIDI BENZ ABURUZWA RUMANDE BAADA YA KUMCHANA MDOMO MREMBO,PICHA NA TAARIFA...

Aisha Iddi mkazi wa Ilala Dar es salaam amefanya exclusive interview na MrInfo kupitia sammisago.comkuhusu kipigo alichopokea kutoka kwa Msanii Chid Benz na sababu ya kupigwa hivyo.Aisha anasema” Chid...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu ndiye Mchezaji wa Gabon aliyefariki akiwa uwanjani.

Hii ni taarifa ya kusikitisha ambayo hutokea mara chache kusikia mchezaji amefia wakati mechi ikichezwa au alipata matatizo uwanajan mpaka kupelekea umauti,Mchezaji kutoka  klabu ya Ac Bongoville...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya kutangaza kumfukuza Moyes,huyu ndiye kocha mpya aliyepokea mikoba yake.

Kutokana na kutofanya vizuri chini ya uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22 Manchester United wamemtangaza Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs kukabidhiwa  kwa muda mikoba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchezaji wa Arsenal ang’oka meno ya mbele akiwa uwanjani.

Mchezaji wa Arsenal Mikel Arteta amejikuta kwenye maumivu ya kupoteza baadhi ya meno yake ya mbele kwenye mechi dhidi ya Hull City.Kwenye harakati za kumiliki mpira mchezaji Mikel Arteta alipata clash...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii ndio ndinga mpya aliyonunua Davido kwa zaidi ya Tsh milioni 200.

Amepata nomination 4 kwenye MTV Africa music awards 2014 na pia ana mashabiki wengi barani Africa na nje pia kitu ambacho kinamfanya asitulie kila siku anazunguka nchi tofauti akifanya show.Hayo yote...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live