Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Baada ya kutangaza kumfukuza Moyes,huyu ndiye kocha mpya aliyepokea mikoba yake.

$
0
0
giggs
Kutokana na kutofanya vizuri chini ya uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22 Manchester
United wamemtangaza Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs kukabidhiwa  kwa muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi leo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles