Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Mchezaji wa Arsenal ang’oka meno ya mbele akiwa uwanjani.

$
0
0
arsenal
Mchezaji wa Arsenal Mikel Arteta amejikuta kwenye maumivu ya kupoteza baadhi ya meno yake ya mbele kwenye mechi dhidi ya Hull City.

Kwenye harakati za kumiliki mpira mchezaji Mikel Arteta alipata clash na mchezaji mchezaji wa Hull City George Boyd.
Mechi hiyo imeisha kwa Arsenal wakiwa washindi wa tatu bila na Mikel Arteta kupoteza meno yake.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles