Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matokeo Ya Game Za Man City Na Everton Yako Hapa.

Haukuwa mpango wa Manchester City kutoka droo kwenye wakati kama huu kwenye Premier League walivyokutana na Sunderland. Man City sasa wako point 6 nyuma ya Liverpool na nne nyuma ya Chelsea ambao ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dah Kweli Sio Kila Mtu Anapata Mapenzi Atakayo,Ona Alichosema Huyu Superstar!!

Watu wanaweza kusema kachanganyikiwa, Kwanini atake mapenzi kuliko mafanikio? Tunayemzungumzia hapa ni star wa rnb duniani Trey Songz mwenye mashabiki wa kila aina sababu ya muziki wake kuweza kugusa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya Trafiki feki sasa ni Mwanajeshi feki na jezi zake kwenye headlines.

Iliwahi kutokea Tabata Dar es salaam akakamatwa askari feki wa usalama barabarani ambae ni mzee aelikua anavalia sare na madereva walikua wanajua kweli huyu ni askari na faini na rushwa akawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dakika 2 za Rais Jakaya Kikwete kuhusu wanaowasema vibaya Mwl Nyerere na Mzee...

Mijadala ya hapa na pale kuhusu utengenezaji wa katiba mpya imehusisha sana majina ya waasisi wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar Hayati Mwalimu Nyerere na Mzee Karume na hii imemgusa hata Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uamuzi wa Mahakama baada ya Mlalamikaji kupinga Biblia kutumika kuapisha...

Pale ambapo alijitokeza jamaa mmoja na kwenda mpaka Mahakamani kupinga kitendo cha Biblia ambacho ni kitabu kitakatifu cha Mungu kutumika kwenye shughuli za kuwaapisha Watumishi wa Umma na kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA AJALI MBAYA HAZIJAWAI KUTOKEA.

Ni kawaida kwa Madereva kukimbiza magari au kutokua makini wanapokuwepo barabarani hata kama walishawahi kushuhudia ajali mbaya za barabarani ambapo vyanzo vingi vimekua ni uzembe kama kuandika msg...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke huyu maarufu apost picha Facebook akiwa mtupu na kuandika ujumbe...

Mama watoto wa muigizaji maarufu, Will Smith ambaye aliwahi kushiriki katika kampeni maalum ya kupinga tabia za kuuza mwili mwaka 2012 amepost picha ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha akiwa mtu.Jada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu ya taifa ya Chile yapata pigo siku 55 kabla ya fainali za kombe la dunia.

Mshambuliaji kutoka nchini Chile Antenor Junior Fernandes da Silva Vitoria, atazikosa fainali za kombe la dunia baada ya kuvujnjia mguu akiwa katika majukumu ya kuitumikia klabu yake ya nchini Croatia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shakira ana ndoto ya kuwa First Lady wa timu ya Barcelona.

Mwimbaji wa Pop, Shakira ambaye ni mpenzi wa mchezaji wa timu ya Barcelona, Gerard Pique ameweka wazi nia na ndoto yake ya kuwa ‘first lady wa timu hiyo’.Shakira anaamini kuwa siku moja Gerard Pique...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtoto aliyejifungua akiwa na miaka 5 ndiye mzazi mwenye umri mdogo kuwahi...

Wapo wanaoamini Mungu anaweza kufanya kila kitu. Wapo wanaoamini Sayansi ndiyo kila kitu na mahesabu hayadanganyi, wapo wanaoamini vyote kwa pamoja na wapo ambao hata kimojawapo hawakiamini! Naaamini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARTINE KADINDA AMUITA LULU MICHAEL NYAU.

Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau.Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia Lulu Happy Birthday Aprili 16 ambapo mwanadada huyo alikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIYE MTANZANIA NA MWANAMITINDO WA KWANZA AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK KUWA...

Flaviana Matata ni jina linalofahamika zaidi hapa Tanzania na hata nje ya Tanzania, Flaviana ambaye alizaliwa June 9, 1987 (age 26), Shinyanga, Tanzania Amekuwa ndiye mtanzania wa kwanza kwa akaunti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAI NYOTAMBOFU AITEMA KAMPUNI YA AL-RIYAMY. SASA AAMUA KUJITEGEMEA. SOMA...

MCHEKESHAJI maarufu hapa nchini katika swaga za kimasai ambaye pia ni mmiliki wa masainyotambofu.info Gilliady Severine Kahema 'Masai Nyotambofu' Ameamua kuitema kampuni aliyokuwa na mkataba nayo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNA KILA SABABU YA KUOGA NA MPENZI WAKO..SOMA HII UTANIELEWA.

Unapo kuwa nyumbani , tena ni vizuri ikiwa weekend mkiwa wote mko nyumbani, hakikisha unapata nafasi ya kuoga pamoja na mpenzi wako, hivi ni vitu vidogo dogo sana vinavyoweza kufanya mapenzi yenu yawe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFAHAMU WABONGO 10 WALIYOPATA UMAARUFU KUPITIA MIGONGO YA WATU.

Well leo Swahilitz imeamua ikuletee list ya watu 10 ambao now days wamekuwa maarufu kupitilizalakini umaarufu wao wote umetokana na mtu fulani inamaana bila fulani wasingekuwa maarufu na kuzungumzwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ATUPWA JELA KWA KUMKATA KICHWA MPENZI WAKE.

Mwanamume aliyemuua kwa kumkata kichwa mpenzi wake amepatikana na hatia ya mauaji nchini Uingereza.Aras Hussein alimkata kichwa mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18 Reema Ramzan nyumbani kwake katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAWA NDIO MAVIDEO QUEEN HATARI SANA KWA AFRIKA MASHARIKI.

AGNES JERALD / MASOGANGE (TANZANIA)TUNAWEZA KUSEMA HUYU ANAWEZA KUWA NDIO VERA SIDIKA WA KIBONGO , JAPOKUA NI VIDEO MOJA ILIYOMTOA AMBAYO NI VIDEO YA BELLE 9 IITWAYO MASOGANGE..CYNTHIA MASASI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAAMBIWA WASICHANA WANAFIKIRIAGA HIVI WANAPOKUTANA NA WAVULANA KWA MARA YA...

1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la.2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.3.Kama viatu vina vumbi moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SABABU YA MAREHEMU GURUMO KUPOTEZA JICHO LAKE MOJA HII HAPA.

Marehemu Gurumo kwa maisha yake yote alikuwa na ulemavu wa jicho moja lakini hakuna mwanamuziki wala mdau  au mwanahabari aliyekuwa anajua sababu ya madhila hayo ya mzee wetu mpendwa.Gurumo akaileza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU NDIO UKWELI JUU YA JOKATE KUPIGA PICHA ZA UTUPU.

Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake.Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live