Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

CHIDI BENZ ABURUZWA RUMANDE BAADA YA KUMCHANA MDOMO MREMBO,PICHA NA TAARIFA ZIKO HAPA.

$
0
0
Info,Picha Mbili Za Uso Za Huyu Binti Aliyepigwa Vibaya Na Chid Benz
Aisha Iddi mkazi wa Ilala Dar es salaam amefanya exclusive interview na MrInfo kupitia sammisago.comkuhusu kipigo alichopokea kutoka kwa Msanii Chid Benz na sababu ya kupigwa hivyo.

Aisha anasema” Chid nafahamiana naye kama mshkaji tu na nilimsalimia akiwa na mwanamke, nadhani hakufurahishwa na kitendo hicho , akachukia na kuanza kunipiga, kwanza alianza kurusha meza kwenye bar tuliyokuweko ya Ngudu Bar iliyopo ilala”
Aisha anaendelea kusema” Chid amemchana vibaya mdomoni mpaka kusababisha kushonwa nyuzi 13 mdomoni. pia amenivuta rasta kichwani mpaka ikatoka, Niko kwenye hali mbaya sana nikiachwa mwenyewe nazimia ”
Kwa sasa kesi ipo mahakamani baada ya Chid kukamatwa kupitia Rb – ILA| RB | 1569| 2014 Kituo cha polisi cha Pangani Ilala.1213

Credit:Sammisago.com


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles