Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE WA MIAKA 61 AKATWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI ILEJE MBEYA, WAKATAJI WAONDOKA NAZO

Majirani wakimuhudumia majeruhi ndani ya gari. Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la London Haonga(61) mkazi wa Kijiji cha Mapogolo Kata ya Mbebe Wilaya ya Ileje Mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI WA MIAKA 16 ATOA SIRI KIBAO ZA FREEMASON.SIRI NZITO IKO HAPA.SOMA KUJUA...

 Binti mmoja aliyetambulishwa kwa jina la  Fauzia (jina la mbele lipo), mwenye umri wa miaka 16, mkazi wa Kigogo jijini Dar amedai kutumikia nafasi ya umalkia katika imani yenye utata duniani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHILOLE"NILIPEWA MIMBA NIKIWA NA MIAKA 14.

Ni msanii mwenye ups and downs nyingi sana , kama unatafuta role model hapa bongo basi muite Shilole. Alianzia kwenye movie lakini kabla ya movie alishawahi kuuza chakula na biashara mbali mbali in...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAWA NDIO MASATAA WA KIKE WALIO KIRI KUTOKA NA ALI KIBA KIMAPENZI.

Ali kiba  ni mmoja wa wanamuziki walio kimya sana kwenye upande wa kuongelea mambo yake binafsi, haswa kimahusiano, au hata kujitangaza kumiliki kitu kingine chochote cha thamani kama ilivyo desturi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKOSA WANAYOFANYA WANAUME WALIO KWENYE NDOA.

1- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakatikumeshadekiwa.3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.4-Kumtambulisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI WA JESHI LA POLISI WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 30 JELA.

MAHAKAMA ya Mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela waliokuwa askari wawili, James Kagoma wa Jeshi la Polisi na Juma Mussa wa Jeshi la Magereza na raia watatu, baada ya kupatikana na hatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAHAMU MAMBO MUHIMU YANAYOZIDISHA UPENDO KATIKA MAPENZI.

 1.KUMNUNULIA ZAWADI MPENZI WAKO:» Zawadi ni moja ya sehemu husika katika Mapenzi inayoweza kufanya penzi likawa bora na lenye kupendeza siku zote, faham kwamba hakuna mtu asiependa kupewa zawadi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUWA WA KWANZA KUSIKILIZA WIMBO MPYA WA SAVELA-NARIDHIKA.

 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA WANAUME-JINSI YA KUKARABATI PENZI LILILOCHAKAA.

Inawezekana hili lisiwe geni, lakini si vibaya kukumbushana.Fanya yafuatayo kurudisha upendo uliopotea kwa mkeo:1.Jaribu kuwahi kurudi nyumbani kama ulikuwa una kawaida ya kuchelewa.2.Jitahidi kuja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA AFUNGUKA " NAJUTA KUMLIPIA KAJALA MIL 13"

KAMA kuna kitu kinakukwaza ndani ya moyo wako, siku zote ukikaa nacho kitazidi kukuumiza lakini ukiamua kumtafuta mtu ambaye umeshibana naye na kumsimulia, moja kwa moja utakuwa umeutua mzigo!Hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUHUSU ALBUM MPYA YA MICHAEL JACKSON.

Ikiwa Imepita kama Mwezi mmoja toka taarifa kuwa kuna album ya Mpya ya Michael Jackson inaandaliwa itakayoitwa Xscape, Kwa sasa imetolewa taarifa rasmi kwamba album hiyo ipo tayari na itaachiwa Mei 13,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUCHU NA RAY KAMA KIM NA KANYE WEST.

KUKOPI na kupesti bila kuboresha! Mastaa wenye mapenzi kama ya njiwa kutoka kiwanda cha filamu za Kibongo, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ wamekuwa wakitupia swaga za picha kama zile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha Za Gari Iliyozama Feri Dar Es Salaam Mapema leo.

  Gari aina ya Pick Up imezama maji leo asubuhi kwenye feri ya Dar es salaam baada ya dereva kushindwa kulizua gari hilo kuteleza wakati anasubiri Pantoni. Inasemekana alishindwa kufunga Break....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO MPYA YA IYANYA IKO HAPA.

Kwa mara ya kwanza alifanya show Tanzania kwenye show ya Fiesta 2013 na pia amefanya collabo na Diamond wakiwa Nigeria.Kama unapenda kazi kutoka kwake utafurahia na hii video.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii ni kali nyingine kutoka Kenya,Cheki ugumu wa sheria hii mpya inayotaka...

Sheria mpya inatengenezwa Kenya sheria hiyo itawataka wanaowazungumzia wakuu wa serikali kufanya mazoezi ya kutosha,kwani sheria hii ikipitishwa basi inamaana kwamba Rais,Naibu wake na wake zao pekee...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rich Mavoko aeleza kwa nini 'Roho Yangu' hajauweka kwenye miito ya simu.

Wimbo wa Rich Mavoko ‘Roho Yangu’ ni moja kati ya nyimbo zilizofanya vizuri na zinaendelea kufanya vizuri kwa mwaka 2013/2014 huku mashabiki wakirudia baadhi ya maneno ya wimbo huo kama misemo.Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alichokisema Beyonce baada ya kutajwa kuwa kati ya watu 100 wenye ushawishi...

Beyonce alikava jarida la Time lililowataja watu 100 wenye ushawishi zaidi duniani kitu ambacho kimeiongeza CV yake kwa kiasi kikubwa.Mwimbaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja alizungumza katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASKINI WEMA NA KAJALA KUMBE HUU NDIO UKWELI WA MAMBO.POLE SANA WEMA...

Urafiki wa Wema Sepetu na Kajala ulitajwa kuwa urafiki wa kweli hasa baada ya Wema kumlipia Kajala faini ya shilingi milioni 13 ili asiende jela miaka 7, pesa aliyoitoa bure kumsaidia rafiki yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA NA KUPAKUA WIMBO MPYA WA BODY WA BAGAMOYO-WEWE NI MZURI.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI MUHIMU SANA KULA MBOGA MBICHI.SOMA HAPA KUJUA ZAIDI.

Katika maisha ya binadamu karibu kila jambo zuri linatakiwa kufanywa kwa tahadhari au kuchunga miko yake. Bila ya kufanya hivyo, faida ya jambo hilo haitapatikana na badala yake maafa yatachukua...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live