Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALIMA: KWA DIAMOND, NIPO TAYARI KUFA.

DADA wa hiyari wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Halima Kimwana amejichora tatuu ya jina la staa huyo na kudai anampenda na yupo tayari kufa kwa ajili yake.Alisema ukaribu wake ni wa...

View Article


TAZAMA HAWA JAMAA WA AJABU WALIOVUNJA REKODI YA KURUKA JENGO REFU ZAIDI DUNIANI.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JB APONGEZWA KUMWANIKA MKEWE.

BAADA ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu, msanii wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ kwa mara ya kwanza amemwanika mkewe, Irene na kumwagiwa pongezi.JB alipongezwa na mastaa tofauti mara baada kumuanika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA KWELI MAAJABU YA DUNIA.FAHAMU HAPA MAAJABU YA NYANGUMI.

1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo.2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na umri wa miezi 7 tu?3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE AONYESHA JEURI YA JESHI LA TANZANIA LEO, MAADUI WAJIONEA.

Mwenye Macho haambiwi Tazama hakuna siri Leo kila rangi maadui wa nchi Na Rais wetu hawajaacha kuoona.Vijana wamekamilika kila idara in a modern and newly Technology.Watu msiojua,mjue Tanzania sio nchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA KAJALA AUMIZWA NA UGOMVI WA MAMA YAKE NA WEMA "NAMPENDA SANA WEMA"

Kutokana na ugomvi unaoendelea kati ya Wema Sepetu na Kajala Masanja,mtoto wa Kajala aitwaye Paulette amesema anaumizwa na ugomvi huo na kwamba amekuwa akimtumia ujumbe Wema kumweleza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPANA CHEZEA MAKOMANDO,ONA WANACHOKIFANYA HAPA KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 50...

 Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIO DEMU MTANZANIA ALIYEKAMATWA AKIFANYA MAPENZI HADHARANI HUKO LONDON,...

 Imefahamika kwamba Shilla msichana wa kibongo aliyeko Rumande huko London/UK kwa makosa ya kufanya mapenzi in the public kumbe ni By-Sexual yaani ni msichana anayependa kufanya mapenzi na wanawake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUWEZI AMINI HAWA NDIYO WATU MAARUFU WALIYOBURUZWA NA LUPITA KWA UZURI...

Hata Lupita mwenyewe hakuweza kuamini macho yake, aliona kama amependelewa aliposikia kuwa yeye ndio mwanamke mzuri kuliko wote hawa kwa mwaka huu.Hii ni kutokana na takwimu na zoezi lilofanywa na moja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA NA DOWNLOAD NGOMA MPYA WA REAL JOFU WA MADONI-STELAH.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIO MAZUU WA MAZUU RECORDS,KURA YAKO NI MUHIMU SANA KWAKE.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii Filamu Aliyocheza Nicki Minaj Inaongoza Sasa Kwenye Filamu Kubwa Wiki Hii.

 Filamu iliyochezwa na mastaa wa Marekani “The Other Woman” akiwemo rapper wa Young Money Nicki Minaj imefika namba moja kwenye filamu kubwa wiki hii kwenye American Box Office .Filamu hii ya mapenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikiliza Na Download Wimbo Mpya Wa Grace Matata- Tz Zalendo.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hizi ndizo picha za Jeshi la Wananchi Tanzania zilizoleta stori mtaani.

Inawezekana raia wengi wa Tanzania tulikua hatujui nguvu ya jeshi letu la Wananchi,vifaa vyake pamoja na matumizi ya vifaa hivyo hasa inapotakiwa kuvitumia.April 26 Tanzania tulikua tukitimiza miaka 50...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali ya meli yasababisha waziri mkuu ajiuzulu cheo chake.

Baada ya ajali ya meli huko South Korea serikali ilikosolewa kwa jinsi ilivyodili na ajali hiyo. Meli hiyo ilivyozama sehemu kubwa ya abiria walikuwa ni wanafunzi na watu kama 100 hawakupatikana.Kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM WAFANIKIWA KUMSAJILI MCHEZAJI HATARI WA YANGA.

Klabu ya Azam FC imeanza rasmi maandalizi ya kutetea ubingwa wao msimu ujao na michuano ya kimataifa kwa kukamilisha usajili wa mchezaji wa kimataifa wa Burundi aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRAFIKI AFA GHAFLA AKIWA NDANI YA DALADALA ALILOLIKAMATA.

Ofisa wa polisi mwenye cheo cha Koplo, Wilson Mwakipesile wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya daladala alilokuwa amelikamata.Hata hivyo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGASSA AIPA YANGA BALAA LA KUKOSA UBINGWA.

MSIMU uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga walikuwa mabingwa watetezi na walitumia zaidi ya Sh250 kuwasajili wachezaji watatu ambao ni kipa Juma Kaseja aliyevuna Sh40 milioni, Mrisho Ngassa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI MBEYA CITY MARUFUKU KUHAMA TIMU.

WAKATI klabu kongwe za Simba, Yanga na Azam FC zikipiga hesabu za kuibomoa Mbeya City, Serikali imewaonya wachezaji hao kukihama kikosi hicho kinachofundishwa na Juma Mwambusi.Zipo tetesi tofauti za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI MWENYE HIPS ZA KUDATISHA KENYA APIGWA MKWARA NA BOSI WAKE BAADA YA...

 Yule Polisi Mwanamke Nchini Kenya kwa Jina Linda Amechimbwa mkwara na Bosi wake wa kituo cha Polisi kiambu Kenya Baada ya Picha yake Kusambaa Mitandaoni Akiwa amevaa Kijisketi cha Polisi kinacho...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live