Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Picha Za Gari Iliyozama Feri Dar Es Salaam Mapema leo.

$
0
0
anna 1 
 Gari aina ya Pick Up imezama maji leo 
asubuhi kwenye feri ya Dar es salaam 
baada ya dereva kushindwa kulizua gari 
hilo kuteleza wakati anasubiri Pantoni. Inasemekana alishindwa kufunga Break.


  anna 2
anna 3anna 4 
Credit:Sammisago.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles