Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOHARI AFUNGUKA NA KUSEMA HATOACHA KUNYWA POMBE HADI MWISHO WA MAISHA YAKE.

Staa wa bongo movie nchini Johari amefunguka kuwa starehe ya pombe ni sehemu ya maisha yake hivyo kamwe hatoweza kuiacha hadi mwisho wa maisha yake kwa vile hana starehe nyingine aipendayo kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VUMBE WA K TOWN SASA KUREKODI JIJINI NAIROBI KENYA.ONA ALICHOPOST FACEBOOK!!

Jumapili tukutane pale Maisha Club kwenye uzinduzi wa ngoma mpya ya Suma Mnazalet,Wasanii wataotoa supot Ni Vumbe,Stamina,Darasa na wasanii kibao.Na siku ya juma 4 km uzima ukiwepo Ntakua naelekea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania waliolipuliwa na Osama kuzoa Sh672 bilioni.

Watanzania wanne waliojeruhiwa katika mlipuko wa bomu katika ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na wengine watano waliofariki dunia katika mlipuko huo watalipwa fidia ya Sh672 bilioni, kiwango ambacho ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu Producer Atasimamia Utengenezwaji Wa Album Mpya Ya Michael Jackson.

Producer mwenye rekodi ya kufanya kazi na wasanii wa kubwa duniani kama Jay Z, The Game na Justin Timberlake amechaguliwa kuwa mtayarishaji/muongozaji wa utayarishaji wa album mpya mpya ya Marehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tazama Hapa Video Mpya Ya Walter Chilambo – Mavela.

Mshindi wa Bongo Star Search 2012 Walter Chilambo aliyeanza na wimbo Siachi wa 2012 uliotengenezwa na Emma The Boy, Doro wa 2013 kutoka Mj Records producer akiwa Marco Chali uliofatiwa na Mimi ni wako...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIO MSANII MKUBWA KUTOKA NIGERIA ALIYEMSIFIA DIAMOND.

Baada ya kutua Nigeria Diamond amedakwa na kufanya Collabo na Mwimbaji wa Kike Anayejulikana kwa Jina la WAJE Ambae inasemakana ndio Mwenye Mafanikio Makubwa nchini humo kimuziki kwa Waimbaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HEMEDY "KINA DADA MNIACHE SITAKI KUFUATWA FATWA MMENISUMBUA KWA KIPINDI KIREFU"

STAA wa filamu za Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’, amewataka kina dada wanaomtaka mahusiano ya kimapenzi kukaa mbali naye, kwani kwa sasa ameamua kutulia na mpenzi wake, na anatarajia kufunga ndoa.Kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SANDRA "USAGAJI NA USHOGA WAZUAI MASTAA WENGI KUOLEWA NA KUOA"

Msanii Mkongwe wa Bongo Movies anayejulikana kama Sandra Amewaasa wasanii wenzake kuachana na mambo ya Usagaji na Ushoga kwani vitendo ambavyo vinawazuia kuingia katika ndoa na pia kupata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAFASI ZA KAZI ZIKO HAPA KUTOKA UBALOZI WA MAREKANI.

From The Guardian of 2nd April The US Mission in Tanzania provides equal opportunity and fair and equitable treatment in employment to all people without regard to race, color religion, sex, national...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHEZAJI OKWI AGOMA KUCHEZA YANGA.

HALI ya hewa baina ya mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi na uongozi wa timu hiyo, si nzuri na Mganda huyo ameamua kugomea mazoezi akishinikiza kumaliziwa chake.Picha lilianza hivi; Okwi alisajiliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPAMBE MPYA WA WEMA SEPETU NI NANDI WA BIG BROTHER.

Siku Wema Alipoenda kufanya Timbwili kwenye Ofisi za Magazeti Maarufu Bongo Global Publishers Aliongozana na Baadhi ya Wapambe wake Ambao mmoja wapo alikuwa ni Mshiriki wa Big Brother Africa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIMBO MPYA YA PROF J FT DIAMOND IKO HAPA!

Mzee mzima legendary Prof Jaz amesoma alama za nyakati na kuamua kuingia studio na Diamond Platnumz ambaye ndio kinara wa Bongo Flava kwa wakati huu ...Embu sikiliza kitu walichopika studio kwa P...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIVA WA CLOUDS FM NA MCHUMBA WAKE GK WAPATWA NA MAJANGA MAKUBWA!!

Ujauzito wa Star Diva Loveness Love mtangazaji wa Ala za Roho ya Clouds fm aliopewa na Rapper kutoka East Coast Team Crazy GK umechoropoka wakati ulikua umefikia miezi mitano.Diva ameandika kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wimbo Mpya wa Z-Anto -Ukipendwa Ringa Iko Hapa!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Brazil kukabiliana na siku 70 zilizobaki, ni zaidi ya presha.

Shirikisho la soka duniani FIFA bado linaendelea kukabiliwa na changamoto ya kuwa nje ya muda wa kukamilika kwa maandalizi ya fainali za kombe la dunia ambazo kwa mwaka huu zimepangwa kufanyika nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tazama Video Mpya ya Mr flavour-Black Is Beautiful.

Angalia video mpya ya msanii kutoka Nigeria Mr Flavour,wimbo unaitwa Black Is Beautiful.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH ABUBAKAR MAKABURI AUWA KWA RISASI MOMBASA..ALIKUWA AKIHUSISWA NA...

Sheikh Abubakar Shariff ‘Makaburi’ anayehusishwa na matukio ya kigaidi nchini Kenya ameuawa jana na watu wasiojulikana mjini Mombasa.Sheikh huyo alimiminiwa risasi wakati akiwa katika Gereza la Shimo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANZANIA AGEUZWA MTUMWA WA NGONO CHINA.

Mwanadada mmoja wa Kitanzania anayetambulika kwa jina moja la Candy ambaye sasa hivi yuko nchini China akitumikishwa kwenye biashara ya Ngono yeye na wadada wenzake wa kitanzania wametuma waraka wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wimbo Mpya:Kala Pina Ft Q Chillah-Hip Hop Is Alive.

Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa rapper Kala Pina akiwa amemshirikisha Q Chillah,wimbo unaitwa 'Hip Hop Is Alive'

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZARI THE BOSS LADY AONYESHA WATOTO WAKE WATATU.PICHA ZIKO HAPA.

Zari is one of the most public figure in Uganda. She’s a singer socialite and real entrepreneur as she is said to e one of the richest people in her country. She loves the fame and the high life. Her...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live