
Jumapili tukutane pale Maisha Club
kwenye uzinduzi wa ngoma mpya ya Suma Mnazalet,Wasanii wataotoa supot Ni Vumbe,Stamina,
Darasa na wasanii kibao.
Na siku ya juma 4 km uzima ukiwepo Ntakua
naelekea Nairobi kwa ajili ya Ofa maalum niliyoipata toka Studio za B.Vogue
ambao wamenipa ofa ya kufanya ngoma Audio na Video.So tuombeane uzima
MUNGU ndie mfanyaji wa yote.Thnx sana wana.