Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

MPAMBE MPYA WA WEMA SEPETU NI NANDI WA BIG BROTHER.

$
0
0
Siku Wema Alipoenda kufanya Timbwili kwenye Ofisi za Magazeti Maarufu Bongo Global Publishers
Aliongozana na Baadhi ya Wapambe wake Ambao mmoja wapo alikuwa ni Mshiriki wa Big Brother Africa Aliyeiwakilisha Bongo Mwaka Jana anayejulikana kama Ammy Nando ...Kama anavyoonekana kwenye picha hapo alikuwa anajificha asipigwe picha na waandishi habari nje za ofisi za Global Publishers....Najiuliza na yeye Amefuata mkumbo wa Kina Petit na Martin Kadinda ?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles