IKULU YAMJIBU WARIOBA.
Ofisi ya Rais (Ikulu) imesema haikuwatupia virago wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilitoa taarifa hiyo jana ikirejea taarifa zilizomnukuu...
View ArticleKAJALA APEWA MAKAVU NA TEAM WEMA INSTAGRAM BAADA YA KUPIGA PICHA NA PENNY NA...
Hehehe kweli ushoga wa mujini kazi jamani sasa huyu bibie na BFF wa madame Wema alipiga picha na hawa wadada wawili wanaodaiwa kuwa maadui wa Wema. Yeye binafsi hakuipost picha hiyo Instagram bali...
View ArticleFeza Kessy kuachia wimbo mpya hivi karibuni 'My Papa'
Aliyekuwa muwakilishi wa Tanzania kwenye jumba la Big Brother Africa, Feza Kessy ataachia wimbo mpya hivi karibuni alioupa jina la ‘My Papa’ na umetayarishwa na Nahreel.“And finally here it is”,...
View ArticleVideo Mpya wa Radio & Weasel-Breath Away.
Angalia video mpya ya Radio & Weasel kutoka Uganda,wimbo unaitwa 'Breath Away'
View ArticleHuyu Msanii wa Kimataifa atoa machozi jukwaani baada ya kumkumbuka mbwa wake...
Miley Cyrus ambaye amezoeleka kuwa na shangwe na vituko karibu kila show anayofanya ameonesha utofauti kwenye show aliyofanya Jana, Boston.Mwimbaji huyo kabla hajaanza tamasha lake alionesha hali ya...
View ArticleWADAU ETI KWA NINI KWANINI PENZI LA MBALI LINANOGA KULIKO PENZI LA KARIBU.
Wadau nimeona niwashirikishe hili jambo ili wale wataalam wa malavidav watupe utaalamu waokwanini Penzi la Mbali huwa linanöga kuliko penzi la karibu nikiwa na maana kwamba; kama una mpenzi wako...
View ArticleKutana na Mchungaji wa Ajabu.Adai hajaoga tangu mwaka 2001 kwa sababu...
Nadhani ulishawahi kusikia ama kushuhudia watu wa eneo Fulani ama jamii fulani wakimlazimisha kichaa kuoga kwa nguvu kwa kuwa amezidi kuwa mchafu, lakini hii ni tofauti kwa waumini wa dhehebu...
View ArticleWema Sepetu aivamia ofisi za Global Publishers kwa madai ya kuandikwa ndivyo...
Wema Abraham Sepetu amezivamia ofisi za Global Publishers zilizoko Bamaga – Mwenge, Dar es Salaam akidai kuwa ameandikwa vibaya kwenye magazeti ya kampuni hilo na kuzua tafrani.Ni kama unaangalia...
View ArticleNAY WA MITEGO NA HUYU MREMBO SASA DAM DAM!
MWANAMUZIKI Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema yupo kwenye mikakati ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Siwema baada ya kumtundika mimba.Akipiga stori na...
View ArticleDAZ BABA NA MADAWA YA KULEVYA UKWELI UKO HAPA.
Msanii wa zamani wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba amesema kuwa hatumii madawa ya kulevya kama watu wengi wanavyodhani.Muimbaji huyo ambaye wiki hii ameachia wimbo mpya uitwao ‘Jela’ amesema kuwa yupo...
View ArticleONA WANACHOKIFANYA HAWA WANAFUNZI.AIBU KUBWA.
Uwezi amini ukiona hii picha unaweza zani wapo kwenye mashindano ya umiss ama backstage wakibadili nguo kwa ajili ya show ....lakini ukweli hao walikuwa Darasani kabisa baadhi wakaamua kuchochojoa nguo...
View ArticleDIAMOND AZIDI KUFANAYA YAKE HUKO NIGERIA.
Safari ya Diamond nchini Nigeria inaendelea kuzaa matunda kama alivyokusudia. Baada ya kushirikishwa na Waje, jana mkali huyo wa bongo flava aliingia booth na msanii mwingine mkubwa wa Nigeria, Dr...
View ArticleUMEISKIA HII INAYOMHUSU MAREHEMU MICHAEL JACKSON?
Wimbo mpya wa mfalme wa wa Pop, marehemu Michael Jackson uliopewa jina la ‘Do You Know Where Your Children Are? Ambao utatoka May mwaka huu umedaiwa kubeba ujumbe mzito kwa wazazi.Kwa mujibu wa ripoti...
View ArticleMAWAKALA, KAMPUNI ZA AJIRA ZAPIGWA STOP.
Serikali imetoa miezi miwili kwa mawakala binafsi wa huduma za ajira kuacha mara moja kuajiri na kukodisha wafanyakazi, vinginevyo sheria kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika.Hatua hiyo inatokana na...
View ArticleRidhiwani Kikwete asema anauhitaji ukatibu mkuu wa CCM kuliko urais.
Mtoto wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ridhiwani Kikwete ameeleza nia na ndoto yake ya kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku za usoni.Ridhiwani Kikwete ameeleza ndoto yake hiyo...
View ArticleVyeti bandia vya HIV vyauzwa Uganda.
Picha za Filamu zilizonaswa kisiri zinaonyesha namna ilivyo rahisi kutoa hongo kwa wahudumu wa afya ili kupata vyeti hivyo bandia.Baadhi ya watu wanaonunua vyeti hivyo visivyokubalika kisheria wanasema...
View ArticleWanafunzi wa Afrika Kusini kupewa Condom zenye kuvutia na harufu nzuri bure.
Serikali ya Afrika Kusini imeanza mpango wa kuwapa vijana wa shule za sekondari mipira ya Condom zenye rangi tofauti tofauti na ambazo zina harufu nzuri ya kuvutia.maana vijana wanakosa kutumia condom...
View ArticleDUDE APASUA UKWELI BONGO MUVI.
STAA wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amewatoa nishai viongozi wa Bongo Muvi kwa kueleza kuwa, risala iliyosomwa siku ya ‘bethidei’ yao ya kutimiza miaka mitatu imepotosha ukweli.Akizungumza na...
View ArticleSababu, dalili na udhibiti wa vifo vya ghafla.
Mchoro wa moyo unaoonyesha madhara ya ghafla yanayoweza kusababisha kifo. Ni jambo la kushtua inapotokea habari kuwa mtu wa karibu, ndugu, rafiki au mtu maarufu ambaye ulishiriki naye jambo fulani muda...
View ArticleUGONJWA WA HATARI WAUA WATU 10 DAR, WENGINE 70 WAUGUA.
Mbu anayeaminika kueneza homa ya dengue.Ugonjwa wa homa ya dengue ulioibuka jijini Dar es Salaam kuanzia mwishoni mwa Januari, mwaka huu umeathiri watu 10 na mmoja amefariki dunia.Mganga Mkuu wa...
View Article