Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Huyu Msanii wa Kimataifa atoa machozi jukwaani baada ya kumkumbuka mbwa wake aliyekufa.

$
0
0

Miley Cyrus ambaye amezoeleka kuwa na shangwe na vituko karibu kila show anayofanya ameonesha utofauti kwenye show aliyofanya Jana, Boston.

Mwimbaji huyo kabla hajaanza tamasha lake alionesha hali ya huzuni na kuanza kutoa machozi wakati akieleza umati kuhusu kifo cha mbwa wake mpendwa aliyeitwa Floyd na ku-dedicate wimbo aliodai walikuwa wakisikiliza pamoja.
“Nina uhakika mtakuwa mmeshafahamu, lakini sababu ambayo inaninyima raha ni mbwa wangu, nisingesema alikuwa ‘my favourite’ lakini alikuwa ‘my favourite’, alifariki dunia.” Alisema kwa sauti ya majonzi huku umati ukimshangilia.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles