Uwezi amini ukiona hii picha unaweza zani wapo kwenye mashindano ya umiss ama backstage wakibadili nguo kwa ajili ya show . ...lakini ukweli hao walikuwa Darasani kabisa baadhi wakaamua kuchochojoa nguo kwa kisingizio cha joto kali ....Maadali yako wapi ?