JOKATE NA GODZILLAH WABABWA LIVE WAKIFANYA VYAO!!
Mlimbwende Jokate Mwengelo na King Zillah Msanii wa Bongo fleva wakifanya yao maeneo ya kujidai.sasa hii ni Clip ya Moja ya kazi zao hapo bado ni kizungu mkuti….Endelea Kuwa nasi tutakujuza..!!!
View ArticleBEN POL AWATAKA WASANII WASIWE NA MTIMA NYONGO KWA DIAMOND NA AY.
Msanii wa muziki wa R&B Ben Pol amewataka wasanii wenzake wa Tanzania kumuunga mkono Diamond na AY baada ya kuchaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye kampeni ya kilimo inayohamasisha vijana wa...
View ArticleHII NDIO NJIA PEKEE YA KUWEZA KUBALANCE MATUMIZI YAKO YA KILA SIKU NA KUWEZA...
The key is not to prioritise what is on your schedule, but to schedule your priorities – Stephen R. Covey, American author of ‘The Seven Habits of Highly Effective People’Indeed, very few people in the...
View ArticleMCHUNGAJI AFUMANIWA AKIWA NA WANAWAKE WATATU.
Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inaendelea! Wiki hii ilifanya kazi nyingine nzito, kumnasa Pastor John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar...
View Article50 Cent Kwenye Movie Nyingine Kubwa Zaidi.
Rapper Curtis Jackson aka 50 Cent mwenye vipaji vingi ikiwemo kipaji cha kuigiza amepata shavu lingine kubwa la kuigiza kwenye filamu mpya ya kuchekesha ya ‘Spy’Kwa mujibu wa The Hollywood, Jackson...
View ArticleHUYU JAMAA NYIMBO ZAKE ZINAONGOZA DUNIANI KOTE KWA MATUSI.
Tarehe 1 April 2014 Best New Ticket imefanya utafiti kugundua album ipi ina maneno machafu zaidi toka mwaka 1985 mpaka mwaka 2013 na kugundua kuwa album ya marehemu 2 Pac ‘All EyeZ On’ ndio album...
View ArticleWachimba kokoto wafukiwa na kifusi Dar!
Inasemekana watu watatu waliotambuliwa kwa majina ya Msagala,Jacob na Mhando ambao ni wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam wamefariki dunia mchana wa April 04 baada ya kufukiwa na kifusi wakati...
View ArticleMafikizolo kutua Leo ndani ya Dar es Salaam.
Kundi kutoka Afrika Kusini Mafikizolo linatarajia kuwasili leo kuja kwa lengo la kutoa burudani ya kutosha na kufanya Tamasha kubwa pale Mlimani City Dar es Salaam hapo tarehe 5 April.Ni Kundi...
View ArticleZINGATIA SANA HAYA MAMBO MWANADADA,USIWE MJINGA.
1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga 2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana nitakao gusa imani zao3. Kuvaa pete ya...
View ArticleMGOMBEA UBUNGE CHALINZE AJERUHIWA KWA MAPANGA.
MGOMBEA Ubunge katika Jimbo la Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya (pichani juu) kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.Mgaya amesema amevamiwa na...
View ArticleAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA KWA KOSA LA KUUA MAMA MKWE WAKE KWA MKUKI HUKO...
Mahakama kuu inayoendelea mjini Geita mkoani Geita imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa Mathias Tangawizi(46) mkazi wa kijiji cha Ibondo katika kata ya Katoro wilayani Geita baada ya kupatikana na...
View ArticleLINAH SANGA ALIA NA MASTAA WA BONGO WANAOSAGANA.
MWANADADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ amesema anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini yeye hajawahi kushiriki.Linah alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na...
View ArticleJAY MOE ALIA NA UANDISHI WA MARAPA WA SASA HIVI.
Rapper mkongwe, Jay Moe ameeleza mtazamo wake kuhusu utofauti uliopo kati ya muziki wanaofanya rappers wa sasa hivi na enzi za rappers wakongwe.Amesema kuwa rappers wa sasa hivi wamerudi nyuma...
View ArticleNAY WA MITEGO KUFANYA VIDEO AFRIKA KUSINI ITAKAYOGARIMU SH MILIONI 30.
Rapper wa Manzese, Nay wa Mitego amesema amepanga kwenda Afrika Kusini kufanya video kwa lengo la kuendelea kujisogeza kimataifa kwa kufanya kazi na waongozaji wenye channel kubwa.Amesema kuwa director...
View ArticleAFUMWA LIVE AKIFANYA MAPENZI NA MBWA.
KATIKA hali ambayo ni ya kushangaza, mkazi wa Kata ya Majengo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kukutwa akifanya ngono na mbwa.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz,...
View ArticleUKWELI KUHUSU MZUNGU KACHAA NA SALAMA JABIR UKO HAPA.
Msanii wa Denmark aliyeishi Tanzania muda mrefu, maarufu kama Mzungu Kichaa amezungumzia uvumi uliowahi kusambaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji wa kipindi cha ‘Mkasi’, Salama Jabir.Mzungu...
View ArticleLULU MICHAEL"JAMANI WASICHANA TUINUKE TUACHANE NA MAMBO YA KUHONGWA NA MATAJIRI"
ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali kuingiza ‘chapaa’ na wasiendekeze kuhongwa fedha na mapedeshee kwani ni aibu.Akistorisha na paparazi...
View Article