Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

50 Cent Kwenye Movie Nyingine Kubwa Zaidi.

$
0
0

Rapper Curtis Jackson aka 50 Cent mwenye vipaji vingi ikiwemo kipaji cha kuigiza amepata shavu lingine kubwa la kuigiza kwenye filamu mpya ya kuchekesha ya ‘Spy’

Kwa mujibu wa The Hollywood, Jackson ataigiza kama yeye yani 50 Cent kwenye filamu ya Melissa McCarthy iliyotayarishwa na kuongozwa na Paul Feig aliyeongoza Bridesmaids na The Heat.
Waigizaji wengine kwenye filamu hii ni pamoja na Jude Law, Nia Long, Star wa Transpoter Jason Statham, Rose Byrne, Miranda Hart na Bobby Cannavale.
50 Cent amesema hustling ndio kitu anafanya kwa sasa na kila kazi kubwa anayopata lazime afanye maajabu, Album mpya ya 50 Cent Animal Ambition inatoka June 3 2014
Mwaka jana ulimuona 50 Cent kwenye movie kubwa ‘Escape Plan’ akiwa na  Sylvester Stallone na Arnold Schwarzenegger na hivi karibuni kamaliza filamu nyingine akiwa na Bruce Willis na John Cusack, inaitwa The Prince.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles