Msanii Mkongwe wa Bongo Movies anayejulikana kama Sandra Amewaasa wasanii wenzake kuachana na mambo ya Usagaji na Ushoga kwani vitendo ambavyo vinawazuia kuingia katika ndoa na pia kupata watoto...
Amesema Swala hilo limekuwa sugu kwa Wanawake Mastaa Kupenda kusagana wenyewe kwa wenyewe kiasi wamenogewa pia na wavulana wanachukuana wenyewe kwa wenyewe so hapo kuoa ni ndoto....