Elikem na Pokello wa 'Big Brother Africa' wakanusha taarifa za kuachana.
Washiriki wa Big Brother Africa 'The Chase' waliodumu kwenye uhusiano wa mapenzi kwa muda, Elikem na Pokello wamekanusha taarifa zilizoenea kwenye mitandao kuwa wamepigana chini.Tarifa za kuachana kwao...
View ArticleMambo 10 muhimu unayopaswa kufahamu kuhusu Notorious B.I.G
Wengi humuita mfalme wa Hip Hop/Rap kutokana na uwezo wake mkubwa aliounesha wa kurap enzi ya uhai wake, Christopher George Letore Wallace aka Notorious B.I.G, aliyewakilisha label ya Bad Boy na...
View ArticleJaji Warioba awasilisha rasimu ya katiba, adai muundo wa serikali mbili...
Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba amewasilisha rasimu ya katiba katika bunge maalum la katiba.Jaji Warioba amewasilisha rasimu hiyo leo bungeni mjini Dodomakushindwa...
View ArticleWazee wa Yanga wasitisha mpango wa kuandamana.
Baraza la wazee wa Klabu ya Yanga, leo limetoa tamko la kusitisha maandamano yao ambayo walikuwa wameyapanga kufanyika ili kushinikiza serikali kutoa kibali cha Ujenzi wa uwanja wao wa kisasa...
View ArticleBaraza la Sanaa na Idara ya Uhamiaji wazungumzia biashara ya ngono...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), limekiri kuwepo kwa baadhi ya wasanii wa nje wanaokuja nchini kufanya kwa madai ya kufanya shughuli za Sanaa lakini hutumia vibali vyao vibaya kwa kujihusisha na...
View ArticleKanye West apewa kufanya kazi za jamii, 'probation' na matibabu ya kudhibiti...
Rapper Kanye West ameamriwa na mahakama ya Los Angeles kufanya kazi za jamii kwa kipindi cha masaa 240 na kuwa chini ya kipindi cha matazamio ‘probation’ kwa miaka miwili kutokana na tukio la...
View ArticleDIDIER DROGBA APATA ZAWADI KUTOKA CHELSEA.
Didier Drogba to get Silver shoe from Chelsea for his services to the club....Nimeipenda sana hii Jamaa Jana usiku wakati wa Mechi ya Chelsea na Galatasaray , Uongozi wa Chelsea walimwandalia Mchezaji...
View ArticleSABABU 5 MUHIMU KWA NINI WAPENZI HUACHANA!
When two people are falling in love, the love factor tends to be stronger such that they overlook any differences that may see them break up.However, when such differences erupt and as love factor...
View ArticleHUYU NDIO MPENZI WA LINAH KWA SASA.
BAADA ya minong’ono ya muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ ameweka wazi kuwa anatoka kimapenzi na Nagari Kombo.Akiteta na kona hii, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam,...
View ArticleNdugu na jamaa wa abiria waliopotea na ndege ya Malaysia watishia kugoma kula.
Ndugu na jamaa wa abiria wa China waliokuwa kwenye ndege ya Malaysia iliyopotea kimaajabu March 8 mwaka huu, wametishia kugoma kula ikiwa hawatapata taarifa kamili kuhusu ndege hiyo kutoka kwa maafisa...
View ArticleHuddah adai wanaume anao-date nao wanataka kuingia kwenye orodha ya jarida la...
Mshiriki wa Big Brother Africa ‘The Chase’, Huddah Monroe wa Kenya ameendelea kumchana Mustapha ambaye awali walitangaza kuwa na uhusiano na mwisho Huddah kubadilika na kudai yote yale yalikuwa...
View ArticleShabiki afariki uwanja wa Taifa wakati wa mechi ya Yanga na Azam, aliishiwa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, shabiki mmoja aliyekuwa akishuhudia mechi katia ya Yanga na Azam, alifariki dunia jana jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Shabiki huyo alizimia uwanjani...
View ArticleVitu viwili vinavyohusiana na ndege ya Malaysia iliyopotea vyaonekana bahari...
Msako wa ndege ya Malayasia unaendelea kwa siku ya 13 hadi leo, lakini kuna taarifa za kutia moyo na matumaini zimeanza kupatikana.Waziri Mkuu wa Australia, Tonny Abbot amesema kuwa maafisa walioko...
View ArticleH Baba avunjiwa Kioo Cha Gari Lake Na kuibiwa Vitu Vyote.
Msanii H baba amevunjiwa kioo kidogo cha gari lake na kuibiwa vitu vilivyokuwa ndani leo kariakoo katika mtaa wa Lumumba.Vitu alivyoibiwa ni ikiwemo flash ambayo ina nyimbo zake, huku wezi hao baada ya...
View Article‘Chuna Buzi Cafe’ Ni Jina La Mgahawa Wa Shilole.
‘Chuna buzi cafe’ ni moja kati ya jina la mgahawa wa msanii kutoka hapa bongo, wa kuitwa Shilole Mohamed a.k.a Shishi baby ambaye anakomaa na jiji ambapo anatarajia kufungua mgahawa wake wa chakula...
View ArticleChris Brown atupwa jela mwezi mmoja.
Kila kukicha msanii Christopher Mourice a.k.a Chris Brown amezidi kukumbwa na mikiki ya hapa na pale baada ya kukaa sana rehab.Tangu ijumaa ya wiki iliyopita alitimuliwa na sasa mahakama imeamua Chris...
View ArticleFilamu Ya Uncle JJ Bado Ipo Kwenye Filamu Zinazonunuliwa Zaidi.
Filamu ya Marehemu Steven Kanumba ‘Uncle JJ’ Bado inafuatiliwa na kununuliwa na wapenzi wa filamu za Tanzania.Hii nimekutana nayo kwenye duka moja maarufu Kariakoo kwa kusambaza filamu za Tanzania kwa...
View ArticleBEN POL "MIITO YA SIMU..UWIZI MTUPU''
Ben Pol hafurahii tena biashara ya miito ya simu (Ring Back Tone, RBT) kwakuwa ripoti ya miezi sita kutoka kwa moja makampuni yanayohusika na biashara hiyo nchini kumkatisha tamaa muimbaji huyo wa...
View ArticlePOMBE ZA MCHANA MCHANA NI SHIDAAA.
Hawa jamaaa walikutwa mchana kweupe wamezima kwa kunywa Pombe nyingi na kuzidiwa..Muda huo wa mchana walitakiwa wawe kazini wakijenga Taifa lakini wao mi mitungi kwenda mbele ....Je unafikiri kuna haja...
View ArticleHappiness (Miss Tanzania 2013) aeleza kwa nini hawezi kushiriki kwenye video...
Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa hana mpango wa kuonekana kwenye video za wasanii wa bongo flava ama filamu kama baadhi ya washiriki wa shindano hilo.Happines Watimanywa ameiambia tovuti ya...
View Article