Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Ndugu na jamaa wa abiria waliopotea na ndege ya Malaysia watishia kugoma kula.

$
0
0
Kwa mujibu wa BBC, watu hao wameonesha hasira zao muda mfupi baada ya kufanya mkutano na maafsia wa shirika la ndege hiyo huko Beijing, China.
Ikiwa ni siku ya 12 leo tangu nchi 26 zinazoshirikana zinaisaka ndege hiyo iliyobeba abiria 239, imeelezwa kuwa kuna kila dalili kuwa ndege hiyo ilipotezwa makusudi na mtu au watu kati ya abiria na marubani hao.
Hivyo maafisa wa Malaysia wamedai kuwa kila abiria ameanza kuchunguzwa kwa umakini kuanzia historia yake.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles