Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTV Africa Music Awards (MAMA) kufanyika Afrika Kusini kwa mara ya kwanza.

MTV Africa Music Awards kwa ufupi MAMA, zimepangwa kufanyika Afrika Kusini kwa mara ya kwanza tangu zianzishwe rasmi mwaka 2008 zilipoandaliwa kwa ushirikiano wa MTV na VIMN (Viacom International Media...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAC C BADO ANALIA NA MADAWA YA KULEVYA,ONA ALICHOANDIKA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBA SANAA BONGO HAILIPI,WASANII WANAISHI MAISHA YA KUIGIZA WAKATI MFUKONI...

SOKO la filamu limekua, maisha ya vijana wengi yamebadilika kutokana na sanaa hiyo. Hata hivyo bado kuna changamoto kadhaa; malipo ya wasanii na mikataba mibovu imeendelea kuwa kilio kwao.Hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTABIRI WA TB JOSHUA WATIMIA-NI KWELI AIR MALAYSIA ILIANGUKA INDIAN OCEAN NA...

Baada ya ndege ya Air Malaysia kupotea Mtabiri TB Joshua Alisema Kuwa Ndege hiyo itakuwa imeanguka Kwenye Bahari ya Hindi na Hakuna Aliyepona ,,,Utabiri huo kwa wengi ulichukuliwa kama mzaha lakini leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO MPYA YA SHILOLE IKO HAPA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Brendan Rodgers, asema msimu huu si wa Liverpool kutwaa ubingwa.

Meneja wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers, bado hakubaliani na vyombo vya habari juu ya mpango wa kikosi chake kuwa sehemu ya klabu zinazopewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa soka nchini Uingereza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rihana kupewa tuzo maalum na wabunifu wa mavazi wa Marekani kwa uchaguzi wake...

Rihanna anatarajiwa kuwa mwimbaji wa kike atakayepewa heshima kubwa kwenye kiwanda cha mitindo ya mavazi Marekani kwa kupewa tuzo maalum kutokana na jinsi anavyochagua mavazi yake kila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya kutolewa kwenye KTMAs, Madee adai BASATA wamechelewa na amewapa...

Habari ya kuondolewa kwa wimbo wa Madee ‘Tema Mate’ kwenye kinyang’anyiro cha KTMAs bila shaka zimewasikitisha wanafamilia wa Tip Top Connection na mashabiki walioipendekeza kwa kura nyingi ngoma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Q Chillah asema hafanyi filamu kukimbia majukumu ya muziki.

Mwimbaji wa bongo flava, Q Chillah ambaye hivi sasa anaonekana kuwa karibu zaidi na kiwanda cha filamu amesema kuwa kuingia kwenye tasnia hiyo haimaanishi kuwa amekimbia majukumu ya muziki.Q Chillah...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASKINI WATOTO WATEKETEA KWA MOTO HUKO TABORA.

Watoto hao walipokuwa wamelala na kuteketea kwa moto ambao chanzo chake inadhaniwa kuwa ni hitilafu za umeme.Miili ya watoto wawili wa familia moja Daniel Paul(8)na mdogo wake Emmanuel Paul(3) ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHILOLE AIBUKA NA ‘SERENGETI BOY’ MPYA.

KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki wa Bongo Fleva, Nouh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND ANYANG'ANYWA GARI NA CHIEF KIUMBE.

LILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ liko sokoni linapigwa bei.Gari hilo linalomilikiwa na pedeshee maarufu Bongo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JINI KABULA ANAMSUBIRI BUSHOKE AJE ILI WAFUNGE NDOA.

MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke aliyeko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Victoria Kimani azungumzia imani yake na uwepo wa Freemason kwenye muziki wa...

Story za Freemason zinaweza kuwa zimewachosha baadhi ya watu hivi sasa au wengine wanaweza kuzichukulia kama story zilizowahi kuwa maarufu, lakini kwa wengine bado hiki ni kitu cha kukifahamu hasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OSTAZ JUMA NAMUSOMA NA JOHARI WA BONGO MOVIE MAMBO YAO POA!

PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo Muvi.Habari zilizolifikia Amani kutoka kwa chanzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII WA KIZAZI KIPYA H.BABA NA MTOTO WAKE MGONGONI.

Mwanamuzi Maarufu wa Bongo Flava H-Baba Hivi Karibuni amekutwa amembeba mtoto wake mgogoni kwa kutumia mbeleko kama wabebavyo wamama huku akiwa hana habari na mtu alipoulizwa alisema yeye anapenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULEVI NOUMA YASABABISHA WALINZI WA RAIS OBAMA KUTIMULIWA KAZI.

Jarida la Washington Post nchini Marekani limeripoti kwamba askari watatu ambao ni walinzi wa president wameachishwa kazi kwa muda na kurudishwa nyumbani ili uchunguzi ufanyike.Askari mmoja kati ya hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majanga! Snura asema atapunguza viuno kwenye video zake, adai ataendeleza...

Mwimbaji wa bongo flava ambaye pia ni muigizaji wa filamu za kitanzania, Snura amesema kuwa amepunguza viuno kwenye video za nyimbo zake kutokana na kukosolewa na hata kutolewa kwenye baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya ndio Majanga yaliyomkuta Kala Jeremiah KILI MUSIC AWARDS mwaka huu.

Mshindi wa tuzo kadhaa za muziki za Tanzania (KTMA 2013), Kala Jeremiah ambaye mwaka huu jina lake halikutajwa katika vipengele vyote vya kuwania tuzo hizo ametoa mtazamo wake kuhusu kutotajwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SINTAH KUINGIA JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA MWAKA HUU.

Baada ya Sinta Kupost Instagram akimshukuru Boss Lady Zari wa Uganda na watu kuanza kuanza kusema anajipendekeza na kuwa hana hadhi ya Zari Sintah aliamua kuwajibu hao baadhi ya watu kupitia Blog yake...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live