Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Robert Mugabe kuususia mkutano kati ya Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya...

Serikali ya Zimbabwe imeeleza kuwa rais Robert Mugabe ataususia mkutano uliopangwa kufanyika mwanzoni mwa April kati ya Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) endapo mkewe Grace hataalikwa.Mkutano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kurasini City Kuwatambulisha rasmi wachezaji wake wa Timu ya pool 2014.

Kutakuwa na utambulisho wa wachezaji wa timu ya pool kwa washabiki wetu siku ya Jumapili tarehe 30 Marchi 2014 kuanzia saa 9 alhasiri. Wageni waalikwa ni pamoja na Mwenyekiti wa chama cha pool cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tuhuma nzito bungeni,ni za rushwa dhidi ya Waziri Mkuu Pinda.

Hali ya hewa jana ilichafuka kwenye Bunge la Katiba baada ya mjumbe Ezekiel Wenje kuwatuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda na baadhi ya mawaziri kuwa waliwahonga baadhi ya wajumbe wa kundi la 201.Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTANA NA RAIS ANAYENYOA KIDUKU.

Wanaume Korea Kaskazini wanakabiliwa na mtihani mpya katika taifa lao; wa kunyoa nywele kwa mtindo ulioamuliwa na rais wao.Watake, wasitake kuanzia sasa kila mwanamume atalazimika kunyoa nywele zake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASKINI HUYU MWANASOKA WA KIMATAIFA! SWALA LA USHOGA INAMUUMIZA SANA KICHWA.

MAPEMA wiki iliyopita uvumi ulisambaa nchini England kwamba gazeti maarufu la The Sun lilikuwa mbioni kuchapisha stori ndefu iliyohusu kashfa ya ushoga ya mlinzi mmoja wa sasa wa kushoto wa timu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTANA NA MWANAMKE ALIYEMUUA MTOTO WAKE AKIHISI NI SHOGA.

Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Jessica Dutro, anakabiriwa na kesi ya mauaji huko Washington Marekani baada ya kutuhumiwa kuwa alimpiga mwanae wa miaka 4 hadi kumuua baada ya kuhisi kuwa atakuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shakira aelezea siri ya kuonesha 'mahaba ya njiwa' kwa mpenzi wake.

Kwa wakaazi wa maeneo ya Pwani ya Afrika Mashariki wanafahamu maana halisi ya ‘mahaba ya njiwa’. Haya ni mahaba ambayo ni zaidi ya kikohozi na hayajifichi.Kila uwaonapo njiwa utagundua wanagusana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HONGERA KWA BABA MZAZI POOL CLUB

Jana timu ya pool table ya babamzazi iliwatwanga Timu ya pool ya kurasini city ya Mbagala kwa Magoli 13 kwa 6.Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea babamzazi.com.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASKINI MC BABU AYUBU! HAYA NDIO MAJANGA YALIYOMKUTA.

Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia siku ya Ijumaa 28 March 2014 imeleta maafa maeneo Kimara na Kuvunja Nyumba ya msanii wa Sauti na Muziki wa Kizazi Kipya maarufu kama Babu Ayubu, yeye mwenyewe anasema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HONGERA KWA BONDIA MASHALI,AMPIGA JAPHET KASEBA KWA POINTI.

Bondia Thomas Mashali (kushoto) akikwepa konde la Japhet Kaseba, wakati wa pambano lao kuwania Ubingwa wa WBO uliofanyika kwenye ukumbi wa UBO Africa Sabasaba jijini Dar es Salaam. Katika pambano hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOSE CHAMELEONE ANYANG'ANYWA GARI AINA YA ESCALADE KWA KUSHINDWA KULIPA KODI.

Jose Chameleone amenyang’anywa gari yake aina ya Escalade na maofisa wa URA baada ya mamlaka hiyo kudai kwamba msanii huyo ameshindwa kulipa kodi yenye thamani ya shilingi milioni saba ya Uganda.Muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE,ULISOMA HABARI HII YA KAJALA KUHONGWA GARI NA KIGOGO MMOJA WA IKULU!

NI madai mazito! Kwamba, nyota wa muvi za Kibongo, Kajala Masanja amehongwa gari na mtu anayedaiwa kuwa ni kigogo wa Ikulu. Kwa mujibu wa habari hizo ambazo zipo hadi kwenye mitandao ya kijamii, hasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO TRENI ILIYOPINDUKA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI HIVI KARIBUNI.

Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali hivi karibuni katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika ajali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MAKUNDI YA SANAA ZILIZOPIGWA STOP MISS TANZANIA!

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), limeitaka Kamati ya Miss Tanzania kutohusisha burudani zinazokiuka maadili ya Mtanzania wakati wa mashindano yao mwaka huu.Akizungumza wakati wa kikao cha tathmini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA "HATUITAMBUI BONGO MOVIE UNITY YA STEVE NYERERE"

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania(TAFF) Simon Mwakifwamba amedai shirikisho lake haliwatambui wasanii wanaounda kundi la Bongo Movie Unity na kudai kuwa kundi hilo linaundwa na watu sita tu huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Brazil wapendekeza Mwanamke anaeacha wazi mwili wake anastahili kubakwa.

Kwa mujibu wa maoni ya raia wa Brazil waliofikiwa na timu ya utafiti iliyo chini ya taasisi ya serikali ya nchi hiyo (IPEA), raia wengi wa Brazil wamependekeza kuwa mwanamke anaeacha wazi mwili wake na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Filamu ya Noah yashika nafasi ya kwanza kwenye Box Office, kukataliwa imekuwa...

Filamu ya ‘Noah’ iliyoigizwa na Russell Crowe iliyokataliwa katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu na Indonesia ni kama ilipewa ‘kick’ na hatua hiyo na kuwafanya watu waongeze hamu ya kuiona kitu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Queen Darleen Na Video Mpya “Wanatetemeka” Kuzinduliwa Jumapili hii ya Tarehe...

Video “WANATETEMEKA” iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa msanii QUEEN DARLEEN ambaye pia ni dada wa Diamond Platnumz sasa itazinduliwa siku ya jumapili hii tarehe 06 April, 2014 Club...

View Article

Kuwa wa Kwanza Kutazama Video ya Baraka Da Prince-Jichunge.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Kwenye Tuzo Kubwa Africa,Kilio Chake Kikubwa Kwako Kiko Hapa!!

Msanii Diamond Platnumz, ameendelea kuchana mawimbi katika anga la muziki hususan kwa upande wa Afrika ambapo amefanikiwa kuingia katika orodha ya wasanii 20 Bora ambao wanafanya vizuri Afrika, ambao...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live