Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Kurasini City Kuwatambulisha rasmi wachezaji wake wa Timu ya pool 2014.

$
0
0

Kutakuwa na utambulisho wa wachezaji wa timu ya pool kwa washabiki wetu siku ya Jumapili tarehe 30 Marchi 2014 kuanzia saa 9 alhasiri. 

Wageni waalikwa ni pamoja na Mwenyekiti wa chama cha pool cha Taifa Isaac Chogocho, mwenyekiti wa chama cha pool cha wilaya ya Temeke na Kocha mkuu wa timu ya pool ya tiafa. 

Mara baada ya utambulisho huo, kutakuwa na mechi ya kirafiki kati ya Kurasini City na Baba Mzazi ya Ilala itakayofanyika katika uwanja wa kisasa wa pool table wa Kurasini City.

Washabiki wetu na wadau wote wa mchezo huu wa pool wanawakaribishwa.

Sehemu ya uwanja wa Pool wa Kurasini City.


 


 Source:www.Kurasini.co.tz


  
 
 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles