Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

HONGERA KWA BONDIA MASHALI,AMPIGA JAPHET KASEBA KWA POINTI.

$
0
0
Bondia Thomas Mashali (kushoto) akikwepa konde la Japhet Kaseba, wakati wa pambano lao kuwania
Ubingwa wa WBO uliofanyika kwenye ukumbi wa UBO Africa Sabasaba jijini Dar es Salaam. 

Katika pambano hilo Mashali alimshinda mpinzani wake kwa Pointi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles