Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

H Baba avunjiwa Kioo Cha Gari Lake Na kuibiwa Vitu Vyote.

$
0
0
H.Baba.jpg 2Msanii H baba amevunjiwa kioo kidogo cha gari lake na kuibiwa vitu vilivyokuwa ndani leo kariakoo katika mtaa wa Lumumba.
Vitu alivyoibiwa ni ikiwemo flash ambayo ina nyimbo zake, huku wezi hao baada ya kukomba kila kitu wamenza kuvujisha ngoma zake na moja kati ya ngoma iliyovuja ni Tubebane.
Aliandika Hivi Instagram “Wezi wamevunja Kioo kidogo wamenikombea kila kitu mpaka nyimbo zangu . #wameanza kuvujisha ngoma zangu nimeskia Wimbo Wangu wa #Tubebane umeenea kila Kona naombeni mliochukua vitu vyangu naombeni nirudishieni #flash yangu au msivujishe ngoma zangu hii nimeiskia ya #Tubebane please please msifanye hivyo vitu bebeni haina neno ila flash yangu tuu. 
Ilikuwa maeneo ya kariakoo mtaa wa rhumumba.” h baba

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles