Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

POMBE ZA MCHANA MCHANA NI SHIDAAA.

$
0
0
Hawa jamaaa walikutwa mchana kweupe wamezima kwa kunywa Pombe nyingi na kuzidiwa..

Muda huo wa mchana walitakiwa wawe kazini wakijenga Taifa lakini wao mi mitungi kwenda mbele ....Je unafikiri kuna haja ya Serekali kupiga marufuku unywaji wa Pombe mchana kama walivyofanya wenzetu Kenya?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles