Article 8
Katika kile kinachoonekana waigizaji wa kike kutaka kukuza tasnia ya uigizaji kwa kuvuka mipaka ya nchi, mwigizaji Irene Uwoya amesema kuwa anataka atambulike nje ya nchi kuliko ndani.Akiweka hoja yake...
View ArticleHuyu Msanii Sasa Anasaka Mwanaume Wa Kuzaa Nae.Anatamani Kuwa Na Watoto!
MKALI wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha amesema anatamani kuwa na mtoto lakini bado hajamuona mwanaume wa kuzaa naye na kuanika vigezo vya mwanaume anayestahili kuwa baba bora...
View ArticleUNAWAFAHAMU WATOTO WATATU WA ZARI?? WAONE HAPA PIA KAWAJIBU WALE WANAOSEMA...
ILA tuache utani huyu manzi ni mkaleeeeee Katika kudhihirisha kuwa NI MAMA BORA KWA WATOTO WAKE ZARI AMEWAJIBU WALE WANAODAI KAWATEKELEZA WATOTO WAKE WATATU NA KULA BATA NA DIAMOND__hivi ndivyo...
View ArticlePata Kujua Mengi Juu Ya Nyuki Wa Asali!
Huenda na wewe kuna kitu umewahi kukionja ukasema ni kitamu kama asali.Kiukweli,asali ni tamu sana.LAKINI asali hadi kukufikia wewe,tambua kuwa nyuki amefanya kazi ya ziada!!Katika chimbo la Papaso...
View ArticleKizaazaa cha Askari wa Ufilipino kuvaa pampers wakati wa ziara ya Papa Francis…
Siku chache zilizopita kulikuwa na taarifa kwamba kuna ugeni wa kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ambapo atakuwa anatembelea Ufilipino. Ambacho sikuwa nimejua ni hii kuhusu taarifa ya agizo rasmi kwa...
View ArticleMwana wa Raila Odinga hatimaye azikwa.
Maelfu ya waombolezaji walifika katika chuo kikuu cha jaramogi Oginga Odinga siku ya jumamosi kwa mazishi ya mwana wa aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya Raila Amollo Odinga.Maafisa wa usalama walikuwa...
View ArticleShocking! Students Caught Doing it While Pretending to Swim in Sea Water
Matukio mengine hata kuyaelezea ni ngumu , ngoja nitumie kizungu kidogo hapa... I wonder what this country is turning into..According to report, This students where caught doing the unthinkable as you...
View ArticleUnaambiwa Kuwa Dawa Ya Nyoka Ni Nyoka,Jionee Hapa!
Wanasayansi wa Uingereza wanasema kuwa wanatengeneza dawa kwa watu wanaotafunwa na nyoka wenye sumu kali, katika nchi za Afrika kusini ya Sahara.Watafiti katika chuo kikuu cha matibabu ya magonjwa ya...
View ArticleBoss alibebwa na wakulima ili viatu visiharibike kwenye barafu, kilichofuatia...
Picha zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii Uturuki zikimuonyesha kiongozi wa Idara ya Huduma Vijijini akiwa amebebwa juu na wakulima ili kukwepa barafu zilimponza, ikaamriwa asimamishwe kazi. Afisa...
View ArticleKutana na mwanamke aliyegundua ujauzito wake saa moja kabla ya kujifungua!
Wanawake wanapokuwa wajawazito huwa na dalili mbalimbali ambazo zinashiria kwamba kuna kiumbe kinatarajiwa kuzaliwa baadaye.Lakini story ya mwanamke huyu inaweza kukushtua kidogo, alishindwa kufahamu...
View ArticleDida na Edzen Mambo Safi Tena..Wapenzi Wakigombana Shika Jembe Ukalime.
Unaambiwa Ndugu Ama wapenzi wawili wagombanapo Shika Jembe Ukalime...Usiingilie na kujifanya wajua sana itakutokea puani na kuonekana mchonganishi.Hahaha Wambea Sisi tulivyoshupalia ugomvi wa Wapenzi...
View ArticleBaba huyu alishindwa kuvumilia kelele za mwanaye wa wiki mbili aliyekuwa...
Baba aliyejulikana kwa jina la Nemanja Petrovic, aliamua kumtupa mtoto wake wa siku 15 kutoka gorofa ya kwanza baada ya kumbembeleza kwa muda mrefu bila kunyamaza.Mwanaume huyo alisema amechukua hatua...
View ArticleHaya Ndio Majanga Yaliyomkuta Rapper Fid Q.
Baada ya msanii Ambwene Yessaya aka A.Y kutangaza jana kuwa namba yake ya simu imekuwa hacked na mtu ambaye akijitambulisha kwa watu kuwa yeye ni A.Y huku akiwaomba hela, sasa taarifa nyingine...
View ArticleGavana kaamua kupiga marufuku matumizi ya lift ili kupambana na tatizo la...
Majengo mengi yaliyo katika ghorofa kuanzia nne na kuendelea yamekuwa yakiwekwa lift za umeme ili kusaidia watu kupanda na kushuka kwa urahisi na uharaka, nimekutana na hii story ya Gavana mmoja...
View ArticleUmewahi kukutana na usafirishaji wa magendo kwa njia hii?
Jamaa mmoja aliyekuwa akitokea China kwenda Hong Kong ametiwa nguvuni kwa kosa la kusafirisha simu kwa njia ya magendo, huenda kilichomponza ni namna alivyokuwa akitembea. Watu walimshangaa kutokana...
View ArticleMfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu.
JINA la Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na...
View ArticleMama huyu aliamua kumkabidhi mwanaye wa miezi minne kwa mpenzi wake ili...
Hii inaweza kuwa habari ya kushangaza sana baada ya mwanamke mmoja Jessica Lynnkuhukumiwa jela miaka 25 baada ya kumruhusu mpenzi wake kumbaka mwanaye wa miezi minne.Kwa mujibu wa taarifa ya polisi...
View ArticleHawa ni watoto wanaofanana na mastaa wakubwa duniani!
Kuna msemo usemao duniani wawili wawili, hivi uliwahi kuambiwa kuna mtu unafanana naye au kukutana na mtu ambaye anafanana au anafanana na mtu unayemjua?Hapa nimekuwekea pichaz ya Mastar ambao kuna...
View ArticleKutana na Jamaa aliyewauzia watu Mkojo Wa Binadamu Akiwadanganya ni Ni Pombe...
Jamaa mmoja amefikishwa mahakamani Uingereza, kitendo alichokifanya wengi hawakupendezwa nacho!Nicholas Stewart alitumia chupa zenye nembo ya Smirnoff, Jack Daniels pamoja na Vodkaili watu wasigundue...
View ArticleSupu yasababisha Jamaa Kumuua Kaka Yake.
Hii inatoka Nigeria, Sunday Osemwekhe alifikishwa Mahakamani kwa kosa la mauaji na amekubali kwamba alifanya kosa hilo, lakini chanzo cha ugomvi wao ilikuwa shutuma alizompa kaka yake kwamba alimuibia...
View Article