Kutana Na aliyehack namba za simu za Fid Q na AY!
Ndani ya wiki hii moja ya story zilizokuwa kubwa Bongo ilikuwa ni story ya namba za simu za mastaa Fid Q na AY kuwa hacked na mtu asiyefahamika, halafu jamaa aliyehack akawa anatuma message kwa...
View ArticleHuu ndio unyama alioufanya mama ndani ya saa 24 baada ya kujifungua.
Mwanamke nchini Marekani anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji baada ya kuamua kumweka mtoto wake aliyetoka kujifungua katikati ya barabara kisha kumchoma moto.Mwendesha mashtaka aliyekua akisimamia kesi...
View ArticleHawa ni mume na mke, padri pia ilimchanganya wakati wa kufungisha ndoa!
Bwana harusi ambaye siku ya harusi yake alivaa gauni kama bibi harusi, kufanana kwao kulizua utata, nani mwanaume na nani mwanamke, ilibidi hata vyeti vya kuzaliwa viletwe ili kumaliza utata huo.Allina...
View ArticleAjali Mbaya Ya Gari Iliyotokea Leo Maeneo Ya Tabata Jijini Dar Es Salaam!
Mtu mmoja amekatika miguu na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya lori moja kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya Coaster linalofanya safari kati ya Ubungo, Tegeta katika eneo la Tegeta Dar es...
View ArticleKauli Ya Mh Zitto Kabwe Kuhusu Kurudi Chadema au La!
Mheshimiwa Zitto Kabwe ambaye ni mbunge wa Kigoma Kaskazini mwanzoni mwa mwaka 2014 alikua na mgogoro mkubwa na Chama chake cha Chadema.Magazeti yaliyotoka siku chache zilizopita yali ripoti taarifa ya...
View ArticleMwanamke hana jeuri ya kumkatalia mpenzi wake kupiga picha za Uchi- Juliana...
Juliana KanyomoziMuimbaji wa Uganda, Juliana Kanyomozi amefunguka kwa urefu kuhusiana na masuala mbalimbali kwenye mahojiano aliyofanyiwa na mtandao wa SatisfashionUG.Miongoni mwa mambo aliyohojiwa ni...
View ArticleMwanamuziki Snura Ajifungua Mtoto wa Kiume Kwa Siri, Adaiwa Kumficha Watu...
Snura wa MajangaMSANII nyota wa miondoko ya Mduara, Snura Mushi aliyekuwa kimya kwa muda mrefu kufuatia kuwa na ujauzito, amerejea jijini Dar akitokea Mbeya alikojifungua mtoto wa kiume, lakini kukiwa...
View ArticleKutana na Kamera Ya Ajabu ya Kutafsiri Kila Kitu Huna Haja Ya Kuuliza!
Hii itakuwa rahisi sana mtu wangu, hivi mara ngapi umeshawahi kwenda sehemu ukakutana na maandishi ambayo umeshindwa kuyaelewa?Teknolojia imekuwa msaada kwenye mengi mtu wangu, pata picha unasafiri kwa...
View ArticleKIZUNGUMKUTI
KIZUNGUMKUTI!!Wewe ni mjomba wake Anna, Anna ni mwanafunzi wa shule moja jijini Arusha. Lakini Anna ana mahusiano ya kimapenzi na kijana aishiye jijini Mwanza.Anna anabanwa sana na wazazi wake hivyo...
View ArticlePicha 4 za Mbwana Samatta kwenye mazoezi Hispania na club ya Russia.
Mwandishi wa habari za michezo Tanzania Shaffih Dauda ameripoti kwamba staa wa soka kutoka Tanzania Mbwana Samatta yuko nchini Hispania sasa hivi kwa ajili ya kufanya majaribio ya soka la kulipwa na...
View ArticlePicha mpya alizotoa mwanamuziki Maunda Zoro ni shida.
Maunda Zorro Kwenye Pozi la KimitegoMaunda Kwenye Pozi la BeachMaunda Zorro Mwanamuziki wa Bongo Flava Ametoa Picha kadhaa mtandaoni akiwa katika mapozi tofauti tofauti ya utata kama unavyoyaona hapo...
View ArticleZari kuwa na ujauzito, ina maana Diamond na Zari walifanya ngono bila...
Shabiki wa Diamond ametuma mtazamo wake kuhusu issue ya Diamond na Zari kutegemea mtoto na kusema.“Sijawahi kuona mastaa hawa wakiwa hospitalini au kwenye kituo chochote wakipima afya zao, ukizingatia...
View ArticleMatunda ya BBA 2014, hizi ni picha za nyumba ya Idris Sultan Dar es salaam.
Ni mshindi wa Big brother Africa 2014 Idris Sultan ambae anaendeleza matunda ya ushindi wake wa BBA na sasa kajipatia nyumba yake ya kuishi ambayo pamoja na mengine ina sebule mbili na anatarajia...
View ArticleWatafiti wabaini mtindo wa Mwanamke kuwa juu ya mwanaume wakati wa tendo la...
Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya...
View ArticleBila chid Benzi Nisingefika Hapa na Kujulikana Kimuziki - Tunda Man Afunguka...
Msaniii Tunda Man ambae kwa sasa anatamba na hits song mbili Achana na mimi na Mapenzi yale yale amefunguka na kuweka wazi kuwa bila support kubwa ya msanii Chid Benzi huenda asingekuwepo katika tasnia...
View ArticleLulu: Marlow Tumekukosea Nini? Wewe ni zaidi ya Wabana Pua au Majukumu ya...
Mrembo na muigizaji wa filamu aliejijengea jina toka utotoni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambae kila mtu anajua kuwa huyu ni mshabiki mkubwa wa muziki na wanamuziki wa hapa bongo kwani mara kadhaa amekuwa...
View ArticleVyoo vya Kujisaidia Ukiwa Umekaa vina Starehe Lakini vina Madhara Makubwa Kwa...
Choo cha KukaliaNyumba nyingi mijini na ofisi mbalimbali zinazojengwa hivi sasa, huwekewa vyoo vya kukaa. Hata zile za zamani zinakarabatiwa na kubadilishwa kwa kuwekewa hivi ambavyo vinaonekana vya...
View ArticleHii Kweli fungua Mwaka! Bangi kuuzwa madukani kama bidhaa nyingine ndani ya...
Kwa huku kwetu T’zania Bangi ni moja ya dawa za kulevya ambazo zinapigwa marufuku, lakini kuna mahali hii kitu inaruhusiwa kabisa kutumika!Kuna story nyingi mtaani kuhusu Bangi na Jamaica, mpya...
View ArticleKIZUNGUMKUTI!
Katika kijiji cha Matare wilaya ya Mugumu Serengeti, bwana Wambura alikamatwa kwa kesi ya kusingiziwa na kuhukumiwa kwenda jela miaka mitatu. Huku nyuma akiacha mke nawatoto wanne waliokuwa wanasoma....
View ArticleMAAJABU YA KOBE KWENYE CHIMBO LA PAPASO!
!Kobe ni mnyama jamii ya Reptilia ambaye kwa kumtazama tu lazima ujiulize maswali mengi.Kitendo chake cha kuficha kichwa, mwendo wake na gamba lake gumu!!Kobe huyuhuyu unayemfahamu Team papaso...
View Article