Mwandishi wa habari za michezo Tanzania Shaffih Dauda ameripoti kwamba staa wa soka kutoka Tanzania Mbwana Samatta yuko nchini Hispania sasa hivi kwa ajili ya kufanya majaribio ya soka la kulipwa na club ya CSKA Moscow ya Russia kama inavyoonekana hapa kwenye hii picha.
asante mtu wangu @1960Remija kwa hizi picha nyingine tatu za chini.