Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WhatsApp sasa wamekuwezesha kutumia computer kuchat.

Mtandao maarufu zaidi wa ujumbe wa simu, WhatsApp sasa unakuwezesha kuwasiliana na marafiki waliopo kwenye simu yako kwa kutumia laptop laptop na PC kwa mara ya kwanza.WhatsApp imeboresha zaidi huduma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPASO PROMO TBC 1 NA TBC 2.JIONEE MAAJABU.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Upo kwenye ofisi ambayo bosi wako hakupendi? Fanya haya!

Si kitu cha kawaida mfanyakazi na bosi kuwa na mawazo tofauti au kwenda mwelekeo tofauti kuhusu mahusiano yao. Kwa bosi ambaye anafikiri anaheshimika na kila mtu anaweza kuchukuliwa kana kwamba ni mtu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ney wa Mitego na Jack Wolper Kuibua Mahusiano ya Kimapenzi Upya.

Na Musa MatejaBAADA ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu Ajuta Kutumua Kope za Bandia, Mwenyewe Ajuta na Kusema Haya.

Wema Sepetu akiwa na Kope BandiaStori: Imelda Mtema/RisasiBEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAMJUA ZARI AU UNAMSIKIA JITIRIRISHE NA HIZI PICHA HAPA CHINI NDIYO UJIPE...

Kwanini ni Bossy Lady jitiririshe hapa kiroho safi wala bila MfyuuuunyoParty Zari diva always celebrating her lifeSelf made BossZari with her Ex- Baby DadSexy beach babeZari with her girls all set for...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakata Mkaa na Maana Yake Iko Hapa!

Maswali yamekua mengi sana vichwani kwa watu wengi wakijiuliza kuwa hii Mkata mkaa ni kundi jipya?na kama ni kundi linaundwa na watu wangapi?na vipi kuhusu Tip Top na Tmk Wanaume Family.Temba kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Labda password yako ni moja kati ya hizi zilizovunja rekodi mwaka 2015…...

Hivi karibuni tumesikia watu wengi wakiwemo wasanii wakilamika juu ya account zao pamoja na simu kuvamiwa na wezi wa mitandaoni, watafiti wanasema matumizi ya password dhaifu pia huchangia account hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Agness Masogange Aibu Tupu Afrika Kusini, Yadaiwa Maisha yake ni ya Kujiuza...

Miezi  michache tangu ahamishie makazi yake nchini Afrika Kusini, modo aliyetikisa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu kutokana na kudaiwa ‘kujiuza’ kwa njia ya mtandao nchini humo.Chanzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabadiliko yamefanywa ndani ya Baraza la Mawaziri TANZANIA Jan 24 2015, list...

Leo huenda ikawa moja ya siku ambazo zitaingia kwenye headlines kubwa za siasa TANZANIA 2014/2015 ambapo January 24 2015 mchana kulikuwa na taarifa za kujiuzulu kwa waziri Muhongo aliyekua kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMBO: NIMESALI BILA NGUO KANISA LA FREEMASON.

Stori: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani/Amani  INATOSHA! Mrembo, Happiness Wilfred Nassari (27), ameibuka na kudai kuwa amekuwa akisali bila nguo kwenye ibada ya imani ya Freemason...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii Ya Huyu Dada Kuzurura Na Vazi La Harusi Ni FUNGUA Mwaka!

Mwanamke mmoja nchini Misri ameamua kukatiza na gauni la arusi mitaani kupinga masimango anayokutana nayo kwa kuchelewa kuolewa.Samah Hamdi mwenye miaka 27  alifikia uamuzi huo baada ya kuchoshwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtangazaji Jerry Murro Kuzua Balaa Jipya Mjini.

Baada ya kutoa documentary ya mgogoro wa ardhi Loliondo ikaleta utata, sasa kutoa ya pili. Na baada ya hapo atakuja na documentary ya kuonyesha jinsi biashara ya madawa inavyofanyika nchini, atakuja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Luiza Mbutu Amtaja Aliyemfundisha Aisha Madinda Kuvuta Unga na Kusababisha...

Msanii wa bendi ya Twanga Pepeta,Luiza Mbutu amesema kilichomfanya Aisha kutumia madawa ya kulevya ni uvutaji sigara uliompelekea kuvuta bangi na alifundishwa na Banza. Banza alikuwa anamchanganyia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Okwi Anusurika Kifo Pambano la Simba Dhidi ya Azam.

Mshambuliaji machachari wa timu ya soka ya Simba, Emmanuel Okwi, jana jioni amenusurika kifo baada ya kupigwa kiwiko nyuma ya kichwa kwenye mishipa ya fahamu na kuzimia kwa dakika kadhaa uwanjani.Mkasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aunt Ezekiel: Mimba yangu Imekuja Vizuri Haijanibadili Tabia Kama Wengine.

Huku kukiwa na tabia kuwa baadhi ya wanawake wanapokuwa wajawazito wanakuwa na tabia za kusumbua na kubagua baadhi ya vitu, msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’, amesema kwa upande...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walio Naswa Wakifanya Mapenzi ya Jinsia Moja Kumbe Walikuwa Wameoana Kabisa.

Na Haruni Sanchawa/UwaziSAKATA la wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24) mkazi wa Stakishari, Ukonga, Dar es Salaam na Lucy Fred (23) mkazi wa Karakata, Dar ambao walishikiliwa katika Kituo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shilole Amchapa Makofi Mpenzi wake Nuhu Mziwanda, Steve Nyerere na Mabausa...

Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko Yao lililofanyika Leaders Club, Gazeti la Makorokocho lilishudia live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu Apigiwa Magoti na Gazeti la Mtanzania na Kuombwa Msamaha.

“Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Millioni Zaidi Ya 33 za Kitanzania Zatumika Kununua Jina Tu La Mtoto!

Ulishawahi kujiuliza jina lako lina maana gani au limetokana na nini? wengi tumekuwa na majina ambayo hatujui maana yake na mengi yakiwa ni common, lakini kuna mengine ambayo ni ya kipekee kwa mfano...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live