Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Dida na Edzen Mambo Safi Tena..Wapenzi Wakigombana Shika Jembe Ukalime.

$
0
0
Unaambiwa Ndugu Ama wapenzi wawili wagombanapo Shika Jembe Ukalime...
Usiingilie na kujifanya wajua sana 
itakutokea puani na kuonekana mchonganishi.
Hahaha Wambea Sisi tulivyoshupalia ugomvi wa Wapenzi wawili Dida na Edzen Mpaka wakaachana Utafikiri tunahusika kwa Vijembe na Meneno mengi mtandaoni..Unaambiwa Kwa sasa wawili Hao Mambo safi wameshapata ugomvi umeisha na mamba ni kama dhamani ng'are ng'are , Wenyewe wanawasiliana kama kawa na kusaidiana katika vitu vidogo vidogo japo kila mmoja alichukua hamsini zake..Tujifunze kwa hawa watu si lazima mnuniane na kuchuniana mkiachana kimapenzi , mnaweza kuwa marafiki kama kawaida..

Urafiki wao kwa sasa umejidhihirisha baada ya Dida kuingia mtandaoni na kuandika haya hapa chini


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles