DJ FETTY NA ADAM MCHOMVU WA CLOUDS WAPIGANA STUDIO LIVE
BOFYA HAPA KUWASIKILIZA WAKITWANGANA https://soundcloud.com/issamichuzi/clouds-fm-yaomba-radhi-kwa-zogo-lililotokea-studio
View ArticleKUMBE LULU NA JOTI WAMEOANA
EBU UNGANA NA HAWA JAMAA KWA KUBOFYA HAPA http://sondacom.blogspot.com/2014/06/lulu-na-joti-wafunga-ndoa-kimya-kimya.html
View ArticleDIAMOND SASA INABIDI UPUNGE KASI!! JUZI BET, LEO UMESHINDA CHETI CHA KORA,...
Mkali huyu(DIAMOND)anastahili pongezi za ajabu kutokana na kuendelea kuipa raha nchi yake kwa kuiwakilisha vizuri kimuziki kimataifa. Hivi Juzi ametoka kushiriki tuzo za BET, hajakaa sawa ameshinda...
View ArticleUMEICHEKI HII VIDEO YA KALA JEREMIAH FT NAY WA MITEGO "SIMU YA MWISHO"?
BOFYA HAPA KUITAZAMA VIDEO HIYO https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=xoquTjRKq7k
View ArticleBarua ya Emmanuel Mbasha akielezea mchungaji Gwajima alivyotembea na mkewe...
Emmanuel Mbasha ambaye ni mume wa mwimbaji wa injili maarufu, Flora Mbasha ameandika barua ndefu iliyobeba mengi yanayohusu sakata lilizua uhasama kati yake na Mchungaji Gwajima kuhusu mkewe.Mbasha...
View ArticleMama amchoma kisu na kumuua mwalimu mbele ya wanafunzi wake.
Mwanamke mmoja ameripotiwa kumchoma kisu na kumuua mwalimu wa kike wa shule ya msingi mbele ya wanafunzi wake katika mji wa Albi ulio kusini mwa Ufaransa.Muendesha Mashtaka wa Albi, Claude Derens...
View ArticleRED BULL NI HATARI SANA KWA AFYA YAKO.SOMA HAPA KUJUA ZAIDI.
RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katikanchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha...
View ArticleVIDEO: UWEZO WA KU-PERFORM JUKWANI KATI YA DIAMOND NA DAVIDO
Davido na Diamond ni wasanii wakali Afrika na wamewahi kushiriki tuzo nyingi kubwa za Afrika na duniani kama vile BET, AFRIMMA, MAMA AWARDS n.kEbu pata kushuhudia uwezo wa hawa wakali wawili wakiwa...
View ArticleDAH! ONA HUYU KIUNGO WA BRAZILI (MAJERUHI) ANAVYOJALIWA: HELKOPTA YATUMIKA...
Suala la kuwajali wachezaji limekuwa ni la hali ya juu sana kwa wenzetu. Hii imethibitika kwa kuangalia jinsi kiungo tegemezi anayeumwa wa timu ya Brazil aitwaye Neymar ambaye kuna uwezekano mkubwa wa...
View ArticleMwanaume ajikata uume wake ndani ya mgahawa uliojaa.
Mwanaume mmoja amejikuta akijikata sehemu ya uume wake katika mgahawa mmoja jijini London uliokuwa umefurika watu wengi waliokuwa wakijipatia huduma ya chakula na vinywajiPolisi walilazimika kutumia...
View ArticleHII VIDEO YA DIAMOND SASA NI LEVEL ZINGINE KABISA!!! DAH HONGERA ZAKE SANA!!!
EBU BOFYA HAPA UICHEKI VIDEO KALI YA DIAMOND YA "MDOGOMDOGO" https://www.youtube.com/watch?v=UANpXcbPjiI
View ArticleDIAMOND AMEMZAWADIA MAMA YAKE GARI> ANGALIA CLIP MAMA AKILIA KWA FURAHA
Baada ya mafanikio makubwa katika mziki, Diamond amemzawadia mama yake gari. Swali langu kwa Diamond, Je alikuwa sahihi kuanza kuwazawadia magari watu wengine (sio wazazi) alafu baadaye mzazi wake? Je...
View ArticleHIZI NI MBWEMBWE SASA!! ETI GOLI LA VAN PERSIE LINATENGENEZEWA SARAFU
Wenzetu ni watu wa kuthanini mamabo ambayo kiafrika tunaweza kuona ni kupoteza muda au haina umuhimu. Kampuni pekee ya nchini Uholanzi iliyopewa mamlaka ya kutengeza sarafu ijulikanayo kama the Royal...
View ArticleHAYA TENA KWA MARA NYINGINE: DR. SLAA V/S DR. KIKWETE!!!!
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema hakuna jambo lolote litakalomfanya amkumbuke Rais Jakaya Kikwete baada ya uongozi wake mwakani, akisema anachofanya sasa kiongozi huyo...
View ArticleMABOMU!! MABOMU!!! SASA YAMEHAMIA TANZANIA, ARUSHA. MUNGU IBARIKI NCHI YETU
Watu nane wamejeruhiwa, mmoja kati yao vibaya baada ya watu wasiofahamika kurusha bomu katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine uliopo karibu na Mahakama Kuu jijini Arusha.Kamanda wa Polisi...
View ArticleHATARI: HIVI NDIVYO DADA ZETU WA KITANZANIA WANAVYOTUMIKISHWA KATIKA KUUZA...
Wakati wanawake kwa wanaume wengi huenda barani Asia, hasa China kununua bidhaa kwa ajili ya kuja kuzichuuza, hali sasa ni tofauti kwa kuwa kuna wasichana ambao huenda huko kwa ahadi za ajira, lakini...
View ArticleRay C amjibu TID baada ya kumtolea matusi.
Ray C ambaye hivi sasa ameanzisha Ray C Foundation iliyojikita katika kusaidia watu walioathirika na matumizi ya madawa ya kulevya amemjibu msanii mwenzake TID kufuatia matusi aliyomporomoshea kupitia...
View ArticleKUMBE MAREHEMU ADAM KUAMBIANA ANA MCHANGO MKUBWA KATIKA VIDEO YA MPYA YA DIAMOND
Unaweza kujiuliza nani alitoa wazo la kufanya ubunifu wa hali ya juu unaoonekana katika video mpya ya Diamond Platnumz. Kumbe script (mlolongo wa matukio) ya video hiyo iliandikwa na marehemu ADAM...
View ArticleUJIO MATATA WA H.BABA! TAZAMA VIDEO YAKE MPYA HAPA
BOFYA HAPA KUITAZAMA NA KUDOWNLOAD VIDEO YA H.BABA "UNANIMALIZA" https://www.youtube.com/watch?v=h8tvTa_H63M
View Article