Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Ray C amjibu TID baada ya kumtolea matusi.

$
0
0
Ray C ambaye hivi sasa ameanzisha Ray C Foundation iliyojikita katika kusaidia watu walioathirika na matumizi ya madawa ya kulevya amemjibu msanii mwenzake TID kufuatia matusi aliyomporomoshea kupitia Instagram kadhaa zilizopita.

Ray C amepost instagram ujumbe unaowajuza mashabiki wake kuhusu hali ya mama yake aliyekuwa mgonjwa na kisha akayajibu ya TID.
“Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema............(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa...........” Ray C ameandika leo Instagram.
Mtafaruku kati ya wasanii hao ulianza baada ya Ray C kucomment kwenye post ya TID ya Instagram akimtaka wazungumze.
 “Come lets talk Tid ur the best musician in east Africa pls lets talk @tidmnyama.”
Baada ya comment hiyo, TID aliandika maelezo ambayo yalikuwa na matusi kwa Ray C.
“Bi*ch leave me alone am not ur type also I dont need shit from you,ur mistake is yours nakuomba can u jus f*ck off,help ur boyfriend,I have never liked you,full stop.”

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles