Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632
↧

KUMBE MAREHEMU ADAM KUAMBIANA ANA MCHANGO MKUBWA KATIKA VIDEO YA MPYA YA DIAMOND

$
0
0


Unaweza kujiuliza nani alitoa wazo la kufanya ubunifu wa hali ya juu unaoonekana katika video mpya ya Diamond Platnumz.
Kumbe script (mlolongo wa matukio) ya video hiyo iliandikwa na marehemu ADAM KUAMBIANA akishirikiana na Wema Sepetu ambaye Diamond amekuwa akimwita anayeitwa "Baby"
Msikilize Diamond akielezea jinsi alivyompata mkali huyo wa Movie Tanzania hapa http://www.hulkshare.com/millard_ayo_/diamond-kuambiana
Kutazama video hiyo ya "Mdogomdogo" ya Diamond bofya hapa https://www.youtube.com/watch?v=UANpXcbPjiI 
↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Latest Images

Trending Articles