Lupita Nyong'o na Pharrell Williams waingia kwenye Oscar Academy 2014.
Lupita Nyong’o anazidi kuwaongezea wakenya nafasi ya kutajwa kwenye tuzo za Oscar hata kama sio katika kupata tuzo tu baada ya kuongezwa kuwa kati ya watu 271 wanaounda Academy ya tuzo za Oscar mwaka...
View ArticleEminem alizuiwa kuperform Uingereza kwa kuwa nyimbo zake zina matusi.
Ripoti zilizoandikwa na gazeti la The Daily Mirror zinaeleza kuwa lugha ya matusi kwenye nyimbo za Eminem ndio chanzo cha yeye kukataliwa kufanya show kwenye eneo la Hyde Park, Uingereza.Kwa mujibu wa...
View ArticleOna hii ya Mwanamke aliyefariki baada ya kutumia simu ikiwa inacharge.
Mamlaka nchini Australia imetoa tahadhari dhidi ya matumizi ya charger aina ya USB feki au zilizo chini ya viwango huku zikiwa zimechomekwa kwenye umeme baada ya mwanamke mmoja kufariki dunia wakati...
View ArticleCanada wamefungisha ndoa 115 za jinsia moja kwa wakati mmoja.
Wapenzi wa muda mrefu Richard Laslett na Collin Gunther ambao wamedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka 37 wamepata nafasi ya kuwa moja kati ya wapenzi wa jinsia moja 115 waliofungishwa ndoa kwa...
View ArticleMILLARD AYO AMETISHA KATIKA TUZO ZA WATU! JE, WEMA SEPETU AMECHANGIA USHINDI...
Millard Ayo (Mtangazaji machachari wa Clouds Fm) ameibuka kidedea kwa kunyakua tuzo mbili, hivyo vikiwa ni vipengele vyote alivyoshindanishwa. Kilele cha Tuzo hizo kilikuwa ni Ijumaa hiikatika Serena...
View ArticleMsichana aliyemuua mama yake kwa kumchoma visu mara 151 akwepa jela.
Taarifa kutoka Colorado, Marekani zinaeleza kuwa Msichana mwenye umri wa miaka 19, anaefahamika kwa jina la Isabella Yun-Mi Guzman ambaye alimchoma mama yake visu mara 151 ameachiwa huru.Mahakama...
View ArticleTAZAMA INTERVIEW YA MSHIKAJI WA NGWEAR (M 2 THE P) KATIKA MKASI NA SALAMA
M 2 THE P AKIWA NA SWAHIBA WAKE NGWEAR KIPINDI HICHOBOFYA HAPA KUINJOI SHOW YAKE https://www.youtube.com/watch?v=WRtmRKzL5Zw&feature=em-subs_digest
View ArticleTAZAMA NA KUDOWNLOAD KICHUPA IMARA CHA KEREWA, SHETTA FT DIAMOND
BOFYA HAPA http://www.youtube.com/watch?v=1NIJINXg-XA
View ArticleHII LAZIMA UCHEKE NA KUSHANGAA! NI SHETTA NA DIAMOND FAKE KATIKA VIDEO YA...
BOFYA HAPA UWACHEKI HAWA JAMAA KATIKA VIDEO, NI SHETTA FT DIAMOND, ILA NI FEKI SIO WENYEWE REAL https://www.youtube.com/watch?v=bRDoVEh9eh8
View ArticleChui apanda boti na kumshambulia mvuvi akiwa na watoto wake.
Imeripotiwa kuwa chui mwenye hasira na njaa aliingia majini na kupanda boti ya mvuvi aliyetajwa kwa jina la Shushil Manjhi huko Kolkata, India na kuondoka nae.Taarifa zilizoripotiwa na vituo vya nchini...
View ArticleDIAMOND AMEKUFA KIUME KATIKA TUZO ZA BET!!! KURA ALIKUWA ANAONGOZA KWA ZAIDI...
Jana tar 29/06 ndo ilikuwa kilele cha tuzo kubwa duniani "BET AWARDS" ambapo Diamond masanii kutoka Tanzani alikuwa akiwania katika kipengele cha msanii bora kutoka Afrika.Japo Diamond alikuwa...
View ArticleUMEWAHI KUMSIKIA DAMOND AKIFANYA MAHOJIANO KWA KIZUNGU??? ANGALIA HII YA TUZO...
Bofya hapa kuona kipande kidogo cha maojino ya Diamond na Mwanahabari mmoja huko Marekani siku ya tuzo za BET https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=SVvt_fdebX0
View ArticleHIVI KUNA TATIZO GANI KATI YA TID (Top In Dar) na RAY C!! DU MAANA TID...
Katika instagram kuna majibizano yalifofanywa na TID na RAY C. Baada ya TID kuto wimbo mpya aliweka post kai intagram, baadaye Ray C akakoment, kiukweli ukiiangalia comment ya Ray C kwa macho ya...
View ArticleBeyonce aongoza orodha ya mpya ya Forbes '100 Most powerful Celebrities',...
Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya mwaka huu ya watu maarufu wenye ngunvu zaidi duniani kwa mara ya kwanza ‘100 Most Poweful Celebrity’ na kumpiku Oprah Winfrey ambaye amekaa mara kadhaa katika...
View ArticleMwanamke aliyejitokeza baada ya kutembea na wanaume elfu 10.
Mwanamke mmoja ameamua kujitokeza hadharani na kusema kuwa katika maisha yake tayari amekwishatembea na wanaume elfu 10 asilimia 90 wakiwa wameoa katika harakati zake za kujitafutia kipato.Gwyneth...
View ArticleMASHABIKI WAMEMSULUBU TID, KISA NI MATUSI YAKE KWA RAY C
Huu ni muendelezo wa story ya jana inayomhusu TID kumtusi sana Ray C baada ya Ray C kumwambia TID katikak intsgram kwamba aende kwa Ray C waongee maana TID ni msanii bora Afrika Mashariki. Ingia hapa...
View ArticleHII NI VUNJA MBAVU NYINGINE: VIDEO YA DIAMOND YA WIMBO WAKE MPYA...
BOFYA HAPA UCHECKE https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=l8FUwg9B6ME
View ArticleBalozi wa Libya Tanzania ajiua kwa risasi.
Balozi wa Libya nchini Tanzania, Ismail Nwairat amejiua kwa kujipiga risasi kichwani.Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la BBC, tukio hilo la kusikitisha limetokea Jumanne usiku, Dar es...
View ArticleGari hili la Magereza lapigwa risasi likiwa na wafungwa ndani.
Taarifa za awali zinadai kuwa Basi lililokuwa limebeba wafungwa limeshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana eneo la Mayfair Mikocheni jijini Dar es salaam.Basi hili lilikuwa likitokea mahakama ya...
View ArticleKuhusu kukamatwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya Sista aliyepigwa risasi Ubungo.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam inawashikilia watuhumiwa wawili wa ujambazi ambao wanahusishwa na mauaji ya Mtawa wa Kanisa Katoliki Sista Clezensia Kapuli.Mbali na watuhumiwa hao pia...
View Article